Chanel za Kibongo kwenye king'amuzi

Mitomingi8s

Senior Member
Jan 17, 2011
132
39
Ndugu jamaa na majirani zangu ninapata shida hapa hawa jamaa wa ving'amuzi natafuta chanel za kibongo kama ITV,EATV,STAR TV, na zile zote za hapa mjini kwanini sipati humo? au kuna intelligencia maalum? zamani nilikuwa naseach kwa kutumia code hii manually 531 lakini sasa inakataa. Kwa mtu yeyote anayejua anijuze plse au kama kuna altenative anipe pia. Hiki ni king'amuzi cha startimes
 
Zamani ilikua rahisi kuchakachua kuzipata hizo channel, kwa sasa wameshtukia na kublock..
utaishia kuangalia tbc1&2 na clouds tv tu.
Easy tv walau wana chaneli karibu zote za kibongo
 
ok thanks ina maana hawajui kuwa tutawakimbia na ving'amuzi vyao? hayaaaa!
 
Vingamuzi wamevi-upgrade ili kulinda kutobebana!!!
Jaribu 634 na 778.
 
Siku hızi wameshtuka,ila kuna wadau nasıkıa etı wapo kwenye mçhakato wakuçhakachua.
 
Mımı hvyo vng'amuzı cjui lbda mwakanı ndıo ntanunua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom