Some of our police are common criminals
Wameyapata wapi hayo magazeti ya zama za kale za mawe?Msoma Magazeti wa leo amekosa umakini kabisa. Inakuaje asome magazeti ya wiki mbili zilizopita bila hata kusituka. Lack of concentration kwa hakika. Inabidi muombe radhi.
Kosa sio lake yeye ameletewa tu akaona labda ndio producer alivyoandaa!
Kosa sio lake yeye ameletewa tu akaona labda ndio producer alivyoandaa!
Hii naifananisha na naibu waziri aliyesoma visiwa vya Pemba na Zimbabwe viliungana na Tanganyika kuunda Tanzania.Mkuu usome gazeti la wiki mbili usishtuke. Yaani hata kuona kwamba habari ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambayo ndiyo habari ya mujini haimo, wewe unatiririka tu basi huna tofauti na robot!!
nimecheka sana kwa hii postnilikuwa sielewi,hakuna habari za serikali za mitaa....naona mambo ya miaka 53 ya uhuru nikawa bado gizani kufika za michezo naona mambo ya big brother sijakaa sawa khaa mechi ya mtani jembe haijachezwa nikadhani nipo usingizini nikapata furaha maana timu yangu ilifungwa......