Chanel Ten Uzembe Huu Usirudiwe

Chanel Ten Uzembe Huu Usirudiwe

nilikuwa sielewi,hakuna habari za serikali za mitaa....naona mambo ya miaka 53 ya uhuru nikawa bado gizani kufika za michezo naona mambo ya big brother sijakaa sawa khaa mechi ya mtani jembe haijachezwa nikadhani nipo usingizini nikapata furaha maana timu yangu ilifungwa......


Haaa mpaka kafika habari za michezo hakuna maproducer.wala hata boss aliyeskia akajaribu kuokoa jahazi na huyo msomaji hajielewi wala sijui kama Kafka secondary ya Kara au si mtanzania mambo ya Uhuru Leo Hi khaaaaaaaa alilala na viroba jogoo walahi keleuwiii
 
Hiyo ndiyo taswira ya mtanzania tunakila sababu ya kuliombea taifa hili ili vizazi vijavyo vitakasike!Tanzania hihi ndiyo Madokta wake Walifanya upasuaji wa kichwa badala ya goti,Waziri wa elimu alisema Tz ni Muungano wa Zanzibar na Zimbabwe,Bunge la katiba kufuta vipengele vya msingi katika rasimu pendekezwa na kushawishi wananchi kuiunga mkono katiba ya chenge,Tz hii ndiyo inakataa pesa zake zinazo ibiwa mpaka ishinikizwe na wazungu kuzikubali na mengine mengi kama hayo!
 
Back
Top Bottom