Chandarua bungeni pliiiiiz...

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Nyara.jpg

na hapa posho hazijafutwa... Zikifutwa nahisi atashusha chandarua kabisa...
 
Hawa ukiwawekea vyandarua vinakula nafasi na wengine watazinduka wanataka kwenda maliwatoni itakuwa vurugu!! Dawa hapa ni INSECT REPELANT..Wanagawiwa hiyo dawa na kujipaka wanapoingia mjengoni!! MWISHO WA TATIZO ile
 
kwelii ana hitaji chandarua ivii ndo nini hivii sii wame enda kuwakilisha wananchi waoo alafuu ndo mwendo wa kulala fofofofofofo...!ina tisha au wamesha shiba wanaenda ili mradii wame wakilishaaa tuuuu!
 
AIBU kubwa mno, hawa wazee wetu vipi jaman, au hapo bungeni kuna tatizo la mazingira? angekaa kwenye stuli asingesinzia!
 
Akikurupuka hapo... hata kama mada iliyokuwa inajadailiwa haihusu posho utamskia: " No! Hawa CDM wanatafuta umaarufu wa kisiasa. Bunge bila posho haiwezekani".
 
AMEPENDEZAAAAA............... atakeyeleta picha ya mbowe "AKIFUATILIA KWA UMAKINI" nampa zawadi
 
ni zaidi ya aibu wakuu, lakini kama prezida mwenyewe analala kuna nn tena?
 
eti kwenye gazeti wameandika anatafakari teh teh teh
angesema amelala wangesema ni uchochezi lakini mhariri kataka kuonyesha hata wale mabingwa wa ubishi wakose la kusema!
Hawatuonei hata huruma sisi tuliowaweka hapo nausingizini bila kujua hata mada wanaanza kutukana cdm. Your days are numbered!
 
Du mimi kuna wakati huwa siamini pamoja na posho yote wanayopewa bado mambo yenyewe ndio hayaaa
 
View attachment 32470

na hapa posho hazijafutwa... Zikifutwa nahisi atashusha chandarua kabisa...

Hapana mimi nafikiri zikifutwa hatoweza kulala,kwani hapo kinacholmlaza ni ubwete wa kushibiana sana posho za wananchi. kwani akikaaa hapo kwenye kiti akawa anaisikia njaa sawa na ile ambayo tunaiskia wananchi never hatopata usingizi atakuwa makini na tena atakuwa mkali kupitisha vifungu vingine vya kipuuzi. hapao akisikia makofi yanapigwa ataamuka na yeye anaanza kupiga, akisikia kifungu hiki kipite atakurupuka na kusema kipitee bila hata kujua kinahusu nini na mwananchi atafaidika nacho vipi.
 
Back
Top Bottom