Alifanya makosa sana kutaka kubadilisha kila kitu pale TFF,baadhi ni haya
1.Kuvunja mkataba wa Kim Poulsen
2.Kuhamishia ofisi za TFF Posta
3.Kutaka kubadilisha jina la Taifa
4.Kubadilisha jezi za Taifa Stars
5.Ameanzisha timu inaitwa maboresho,sijui hata ina umuhimu gani
6.
7.