kila mtu kakosa sasa sijui kafurahi???
daah nilikuwa nimeshaanza kushangilia ushindi
diego sijui anacholalamika kuhusu DK 5 nani kawaambia wachezaji wake walale chini kwani wamesikia Holiday ya kujianika Beach Paparazi wapige picha imefika? Leo hapa hakuna cha ATM Real Madrid game Yao hii Kombe lishaandikwa Madrid bado kuandikwa Real mwanzoni.