Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walionewa!

Waliosababisha ile "fiasco" ya April, 2012 wachukuliwe hatua.
 
Tutaendelea kutetea haki za wanyonge hadi kieleweke. Waliosababisha ile "fiasco" ya April, 2012 wachukuliwe hatua.
[h=2]Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walionewa![/h]
 
Tutaendelea kutetea haki za wanyonge hadi kieleweke. Waliosababisha ile "fiasco" ya April, 2012 wachukuliwe hatua. Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walionewa!!!!!!!!
 
Mkuu, nimekupata. Inawezekana kuna ukweli ndani ya hoja yako. Maana mie nilikuwa najiuliza, hivi matatizo maliasili ni maige peke yake tu? vipi kuhusu Nundu? Wameonewa. Mpaka wengine washughulikiwe ndio nitaamini kwamba hawa jamaa waliondolewa kwa kashfa. Otherwise, akina chami na wachapa kazi wazuri. Fitna na majungu, na mtandao ndio vyanzo vya uonevu huu.

AAAAAAKKKKHHHH KWELI, huyu thinker alianzisha debate nzuri iliyosahaulika....mizunguko ya ndani ya utendaji serekalini ilimtaja CYRIL CHAMI kuwa ni a VERY POTENTIAL PRESIDENT.....mtu ambaye si msemaji na msimamiaji wa mambo hadi mwisho .... kimsingi anafananishwa na BEN MKAPA.........HE WAS a good material at school na ni mtu shupavu...he is intelligent.....na ni mtendaji zaidi...si mwanasiasa....

tuendelee kujadili!
 
Nimekupata KAKA. Haiwezekani kabisa, kwamba ile fiasco ya April 2012 ilisababishwa na akina mkulo, chami, ngeleja, maige nk. Mbona maafisa wa chini hawajashughulikiwa. Hii inaonesha ni jinsi gani Rais anapuuza vilio vyetu sisi wanyonge. Tunamuomba awafute kazi maafisa wote waliosababisha ile fiasco. Asipofanya hivyo tutawaomba chadema wapeleke hoja bungeni.
 
Tutaendelea kutetea haki za wanyonge hadi kieleweke. Waliosababisha ile "fiasco" ya April, 2012 wachukuliwe hatua. Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walionewa!!!!!!!!
 
Kaka unachosema ni kweli kkabisa ,wanatakiwa kujiondoa wenyewe au chadema wawaondoe
 
Tutaendelea kutetea haki za wanyonge hadi kieleweke. Waliosababisha ile "fiasco" ya April, 2012 wachukuliwe hatua. Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walionewa!!!!!!!!
 
Tutaendelea kutetea haki za wanyonge hadi kieleweke. Waliosababisha ile "fiasco" ya April, 2012 wachukuliwe hatua. Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walionewa!!!!!!!!

You sound like Maige........and Mwanamalundi is a Sukuma thing.........anyway nobody has the right to be a minister for life. The President may reshuffle his cabinet at will..from pressures or from any other reason
 
Rudi kwenye hoja ya msingi. Waliosababisha ile fiasco wamechukuliwa hatua gani? Naomba jibu.
 
hakuna haja ya kuchua hatua

Sasa kama hivyo ndivyo ilivyo kulikuwa na haja gani ya Mtukufu Rais kuwaambia watanzania kwamba safari hii hakuna atakayebaki salama!! Rejea hutuba yake wakati anataja baraza jipya. sawa kaka? Otherwise, my take is:Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walionewa!!!!!!!!
 
Tutaendelea kutetea haki za wanyonge hadi kieleweke. Waliosababisha ile "fiasco" ya April, 2012 wachukuliwe hatua. Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walionewa!!!!!!!!

Wewe kweli unaamini kuwa katika serikali hii ya CCM kufanya "madudu" ndiko kunakopelekea mtu kuwajibishwa? Unaamini kuwa kuna uongozi unaoeleweka? Rational? Na hao ndio wanyonge unaowatetea? Don't be that naive!
 
Tutaendelea kutetea haki za wanyonge hadi kieleweke. Waliosababisha ile "fiasco" ya April, 2012 wachukuliwe hatua. Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walionewa!!!!!!!!
 
Sasa kama hivyo ndivyo ilivyo kulikuwa na haja gani ya Mtukufu Rais kuwaambia watanzania kwamba safari hii hakuna atakayebaki salama!! Rejea hutuba yake wakati anataja baraza jipya. sawa kaka? Otherwise, my take is:Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walionewa!!!!!!!!

Sting to your guns?....what if they explode in your face?........hakuna aliyeonewa hao wote Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walitajirika vilivyo kwa njia zisizo halali vipi washitakiwe au waachwe tu?
 
Yes, Mkulo, Ngeleja, Maige, Chami, Nundu, etc. Wameonewa. April hiyo inakaribia. Narudi tena, Wameonewa. Ni wachapa kazi wazuri. Ilikuwa fitna na majungu.
 
Back
Top Bottom