Tanzania 2013: Machozi, Damu na vicheko! Lipi Tukio Kubwa kabisa?

cab

Member
Sep 10, 2010
35
9
2013 ndo hii inaishia na 2014 ipo mlangoni. Haya ni matukio makubwa yaliyopamba headlines za vyombo vya habari vya hapa Bongo kwa siku hizi 365. Lipi ni tukio kubwa kwako kati ya haya, au ongeza lako.
  1. KATIBA
    Tumeshuhudia tume ya katiba ikikusanya maoni juu ya katiba mpya na kutoa rasimu ya kwanza ya katiba. Rasimu ya pili itatoka Jumanne hii ambayo itajadiliwa kwenye bunge la katiba 2014.

  2. MABILIONI YA USWIZI.
    Swizz Central Bank walitoa ripoti na kuonyesha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo raia wake wameweka pesa huko, ambapo jumla ya $196 million zimewekwa huko. Kina nani wameficha pesa hizo huko bado kitendawili, labda 2014 kitapata ufumbuzi.

  3. MTWARA NA GESI.
    Kugundulika kwa gesi asilia yenye thamani ya $500 billion kulizua kutoelewana baina ya wananchi wa Mtwara na Serikali, huku wakipinga kusafirisha gesi hiyo kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam. Maandamano na machafuko ya swala hili yaligharimu mali na maisha ya watu yalipelekea nguvu za kijeshi kutumika kutuliza hali.

  4. OBAMA ATUA TANZANIA.
    Rais wa Marekani Barack Obama alifanya ziara ya kihistoria nchini kuimarisha mahusiano baina ya TZ na US. Obama ni mmoja kati ya viongozi wa mataifa makubwa waliofanya ziara zao nchini kwa mwaka 2013. Mwingine alikuwa ni Rais wa China, Xi Jinping.

  5. BARAZA LA MAWAZIRI KUBADILISHWA.
    Mawaziri wa fedha Mustafa Mkulo, wa Nishati na Madini William Ngeleja, wa Afya Dr. Haji Mponda, wa Maliasili na Utalii Ezekieli Maige, wa Uchukuzi Omari Nundu na wa Viwanda na Biashara Cyril Chami, na manaibu waziri Athumani Mfutakamba wa Uchukuzi na Dr. Lucy Nkya wa Afya, wote hawa walipigwa chini kwenye baraza la mawaziri kufuatia ripoti ya CAG. Mwezi huu pia Mawaziri Khamis Kagasheki (maliasili na utalii), David Mathayo (Mifugo na Uvuvi), Emmanuel Nchimbi (Mambo ya ndani), Shamsi Vuai Nahodha (Ulinzi) nao pia wamepigwa chini kutokana na ripoti ya tume ya kuchunguza Operesheni tokomeza ujangili.

  6. TRENI YA MWAKYEMBE.
    Garimoshi hili maarufu kama 'Treni ya Mwakyembe' lililoanzishwa na waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe kwa ajili ya kutoa huduma ya usafiri kwa wakazi wa Dar, ikibeba abiria 14,000 kila siku ikiwasafirisha kati ya katikati ya jiji na Ubungo kupitia Buguruni na Tabata. Waziri Mwakyembe kwa hili la kusaidia kupunguza shida ya usafiri kwa wakazi wa jiji kumepelekea hivi juzi-juzi kupata tuzo huko London kutoka Chartered Institute of Logistics and Transport (CILT). Licha ya ripoti za hivi karibuni kuonyesha treni hili linajiendesha kwa hasara ya milioni 2 kwa siku.

  7. JK v/s KAGAME.
    Uhusiano baina ya Tanzania na Rwanda ulitikisika kwa kiasi kikubwa, na yote hayo yalikolezwa na kutupiana maneno kati ya pande mbili hizo Dar es Salaam na Kigali. Yote haya yalianzia na ushauri alioutoa Rais Kikwete kwenye mkutano wa AU Adis Ababa, kuwa Rwanda ifanye mazungumzo na vikundi vya uasi vilivyopo DRC. Rwanda walichukulia ushauri huu kama ni udhalilishwaji na ni kitu kisichokubalika. Kutoelewana huku kulipata ufumbuzi kwenye mkutano uliofanyika Uganda baina ya Kikwete na Kagame.

  8. VIFO VYA WALINDA AMANI SUDAN.
    Mwezi wa saba, wanajeshi 7 wa Tanzania waliokuwa wakishiriki Operesheni ya Umoja wa mataifa ya kulilinda amani Darfur Sudan waliuwawa na wengine 17 kujeruhiwa.

  9. OPERESHENI KIMBUNGA.
    Maelfu ya wahamiaji haramu wengi kutoka Rwanda, Burundi and Uganda walirejeshwa makao kufuatia eporesheni iliyoamriwa na Rais Kikwete kufuatia kuongezeka kwa vitendo vya uvunjifu wa amani kwenye mikoa ya mpakani hususani Kagera. Zaidi ya wahamiaji haramu 150,000 walirejeshwa makwao.

  10. MASHAMBULIO YA TINDIKALI.
    Mashambulio ya kumwagiwa tindikali yalianza 2008 kwa mwandishi Saed Kubenea na kufuatia na tukio la 2012 kwa katibu wa mahakama ya kadhi ya Zanzibar Sheikh Fadhili Soraga, lakini kwa 2013 pekee zaidi ya matukio 6 kwa viongozi wa dini, wafanyabiashara na wageni yaliripotiwa. Waathirika wa mashambullio haya kwa Dar ni Bw. Ally Ibrahim raia wa Lebanoni aiishiye Upanga na mmliki wa Home Shopping Centre Bwana Mohammed Saad. Kwa upande wa Zanzibar, waathirika ni mabinti raia wa Uingereza Katie Gee na Kirstie Trup, wote wenye umri wa miaka 18 na pia Padri wa Kanisa Katoliki Anselm Mwang'amba.

  11. SHEIKH PONDA ISSA PONDA.

  12. MABOMU YA ARUSHA.
    Mabomu haya yaliyotokea ndani miezi miwili yaliua watu 7 na kujeruhi wengi yalitokea kwenye kanisa la Katoloki Olasiti na pia kwenye mkutano wa Chadema.

  13. MASHINE ZA KIELEKRONIKI ZA RISITI (EFD)

  14. VITA YA MADAWA YA KULEVYA.

  15. KUPIGANA NDANI YA BUNGE.
    Kwa mara ya kwanza tokea mfumo wa vyama vingi 1992, hakijawahi kuonekana kilichotokea bungeni mwezi wa nane, makonde live live.

  16. KIFO CHA MJUMBE WA TUME YA KATIBA Dr. MVUNGI.

  17. MUUNGANIKO WA WALIO TAYARI EAC.
    Coalition of the willing kati ya Kenya, Uganda na Rwanda ndani ya jumuiya ya Afrika Mashariki.
 
Mabilioni ya uswizi muulize ziitoo ilikuwq kiki yake

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom