Chambilecho Fidel Castro, "Mhukumuni Bashiru, historia itamwachia huru."

..hizo mnazoita mali za ccm ni mali zilizopatikana wakati wa mfumo wa chama kimoja na sera ya chama kushika hatamu. kwa msingi huo ni mali za umma na zinapaswa kurudishwa SERIKALINI.
Je alipozirudisha CCM zilikuwa serikalini? Au zilikuwa zimeporwa na mafisadi!
 
Leo nimeamka nikitafakari kuhusu mwalimu wangu Dk. Bashiru Ally. Tafakuri imenipeleka mbali hadi mwaka 2011, nikiwa mwaka wa tatu wa shahada yangu ya kwanza pale UDSM...
mwalimu wako aliamua kutumia tumbo lake badala ya nchi acha apopolewe. hujiulizi kwanini mama alimuondoa asubuhi kabla hata jogoo hajawika? grow up buddy!
 
Kusema Bashiru ni mjamaa na mzalendo huko ni kututukana sisi watanzania.

Bashiru ni mwizi, muongo na mzandiki.
 
Hoja nyingine bwana? Kwa hiyo kwa maoni yako nchi/serikali za kijamaa hakuna Wabunge/wawakirishi wa wananchi.

Eti ndani ya muda mfupi Bashiru atakuwa kavuta mpunga kuliko wakati wote - mnaleta uzushi mtupu tu hapa - yaani akili zenu zote vipo kwenye kuwazia utajiri na ufisadi basi...
Mbunge wa kuteuliwa, mzalendo husimamia hoja yake. Mzalendo uwa kama kuna uchafu atausema wazi wazi bila kukaa kimya kisa kapewa ubunge wa kuteuliwa.

Hana uzalendo wowote huyo. Hakuna mjamaa Afrika walishakufa na kuzikwa. Kamsifuni wana CCM, mzalendo ni yule atakayepigania maslahi ya taifa siyo kuweka chama mbele.

We Bashiru unamfahamu ukiwa UDSM, mimi Bashiru namfahamu toka miaka ya 90 akiwa mwalimu wa Sekondari ya Kashozi hapo Bukoba.
 
Pamoja na machafu yoote anayotupiwa dk bashiru,ukweli ni kinyume chale, bashiru ni mzalendo,mwadilifu na mchapa kazi,huyu mtu ni moja Kati ya wajamaa waliobaki,
Angekuwa na hizo Sifa asingeshiriki katika Biashara ya Manunuzi ya Binadamu, wabunge na Madiwani wa Upinzani
 
Mjamaa gani anayeona fahari kulipwa zaidi ya 12milioni tena bila kukatwa kodi, kwa kukaa bungeni kugonga meza tu, huku kuna mamia ya watanzania wanateseka au kufa kwa kukosa dawa mahospitalini?

Mjamaa gani anayeweza kukaa kimya na kuunga mkono wabunge wa Covid 19 wakitumbua kodi za watanzania za zaidi ya shilingi milioni 200 kila mwezi pasipo haki?

Tunasema Bashiru ni mwizi, muongo na fisadi wa kiwango cha juu kabisa.
 
Hoja nyingine bwana? Kwa hiyo kwa maoni yako nchi/serikali za kijamaa hakuna Wabunge/wawakirishi wa wananchi.

Eti ndani ya muda mfupi Bashiru atakuwa kavuta mpunga kuliko wakati wote - mnaleta uzushi mtupu tu hapa - yaani akili zenu zote vipo kwenye kuwazia utajiri na ufisadi basi ...
Holy Crap
 
Sisi kama watanzania tusiyo na uhusiano na ccm hayo ya kutafuta au kukusanya mali za ccm hatuna faida nazo.
Huenda Mleta Mada hata yeye ha benefit kwa lolote kwa hizo Mali wanazosema ni za CCM
 
Huyu si ndio bwana manunuzi kwenye ujamaa kununua wapinzani nayo imo ? Au mimi kuna kitu sijaelewa ? Alilewaaa madaraka huyu ujamaa wake akasunda kibindoni
 
Na hawa wanaorudi hivi sasa wanaratibiwa na nani?,na bado kuna wengi tu wanafuata.
Hayo madai ya kunuliwa viongozi wa upinzani hayana ushahidi wowote hivyo ni batili,kwahiyo waliokuwa wakihamia upinzani nao walikuwa wananunuliwa?
Akina nani hao ?
 
Kama bimkubwa alitaka kuresign, unasemaje kwa Bashiru aliyejiapiza kuwa hatakubali tena kazi yakuteuliwa,lakini baadae akala matapishi yake?.
Ungenielewa kutoka kwenye komenti yangu ya awali usingeniuliza?
 
Back
Top Bottom