Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Je alipozirudisha CCM zilikuwa serikalini? Au zilikuwa zimeporwa na mafisadi!..hizo mnazoita mali za ccm ni mali zilizopatikana wakati wa mfumo wa chama kimoja na sera ya chama kushika hatamu. kwa msingi huo ni mali za umma na zinapaswa kurudishwa SERIKALINI.