Chama tawala cha Palestine cha FATAH kina jina la kifilisti kirefu ni Ḥarakat al-Taḥrīr al-Waṭanī l-Filasṭīnī

Kirefu cha chama tawala cha Palestine k cha FATAH kina jina la kifilisti kirefu ni Ḥarakat al-Taḥrīr al-Waṭanī l-Filasṭīnī yaani Chama cha wanaharakati wa kifilisti.

Wafilisti ni ndugu zake na Goliathi kwenye Biblia
Na Goliat alikuwa na umaarufu gani
 

Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    37.1 KB · Views: 1
Nimemaliza kusoma kitabu cha Joshua, kuyaacha yale maeneo ikiwapo gaza, kunawatesa mpaka leo. Ila alieambia yatakuwa mwiba kwao.

Hapa chini ramani ya maeneo aliyogawa Joshua kwa yale makabila ya Israel, maeneo mengine yaliyobaki na wenyeji.
 

Attachments

  • maps-master-archeological-bible-study-borders-twelve-12-tribes-israel-promised-division-divide...jpg
    2 MB · Views: 2
Back
Top Bottom