Naona utabiri wako umetimiaNimekaa mara fikra za woga zimenijia. Nahofia timu yangu Lunyasi wa Msimbazi kuaga mapema kwenye michuano ya CCL. Naomba iwe ni ndoto tu
Kumbuka kwenye mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza walitoka sare ya bila kufungana AS SONGO ya Msumbiji
Ndugu zangu sare ya bilakufungana ugenini ni hatari sana. Unatembea kwenye uzi mwembaamba sana baina ya kusongambele na kutupwa nje ya mashindano.
Hapo hakuna alternative kwa Simba zaidi ya ushindi. Afadhali ile sare waliotoka watani zetu wa Jangwani na Township Rollers, sare ya bao moja kwa moja. Kama Yanga wakikaza ugenini wakatoka angalau sare ya bao mbili kwa mbili au zaidi wanafuzu kwa raundi inayofuata
Msimbazi akitoa sare ya magoli ya aina yoyote anaaga mashindano, suluhu ya bilabila ni changamoto ya mikwaju ya penati ambayo sikuzote haina mwenyewe!
Tuliidharau timu hii ya Mozambique lakini siku zote Msumbiji hua inatusumbua sana iwe kwa ngazi ya vilabu na hata timu ya Taifa. Wana style yao ya kufunga goli dakika tano za mwanzo na likang'ang'ania hadi mpira unaisha
Natoa wito kwa viongozi na hasa benchi la ufundi wasiwachukulie poa hawa jamaa
Waache kabisa tabia yao ya kufanya majaribio ya wachezaji na aina ya uchezaji, tabia ambayo kocha wetu Patric anayo sana. Waweke kikosi cha kazi isitukute aibu tukakosa pa kuweka sura zetu
Sisi mashabiki panapo majaaliwa tutakuwepo uwanja wa Taifa kutoa sapoti inayohitajika kama kawaida yetu
SIMBA NGUVU MOJA
Mbele ya Mheshimiwa Jakaya Kikwete ndani ya uwanja wa Benjamin Mkapakuna mchezaji wa msumbiji nadhani ni tico tico ndo alitutungua moja kwa hakuna wadau kama nimekosea mtanisahihisha...aisee ile mechi iliumiza wengi sana
Ilikua ni tahadhari kabda ya hatariNaona utabiri wako umetimia
Hivi una kumbuka mara ya mwisho lini Simba kufungwa uwanja wa Taifa? Wamekuja wababe wa Egypt, Congo, Algeria, Zambia etc ila wote walisanda. Hao Songo pona yao ni kupigwa viwili ila wakizubaa ata week wanaweza pigwa.
Simba tuko vizuri zaidi tukiwa nyumbani kwa mchina/mkapa, vyuraaaaaazzz hawatatoboi ugenini
Tutafakari kushindwa??sio sehemu ya Utamaduni wetu, sisi tunawaza kumfunga hata Barcelona
Unajiabisha, sare ya 1-1 Taifa inampa advantage gani Yanga wakat alikuwa mwenyeji mzee?
Hahahaha acha kuteseka boss tunakanyaga hadi semifinals sisi ni Simba .
.
Nyinyi jipangeni kwa msimu ujao
acha uduwanzi boya wewe..... yani makirikiri kwao yanga anakula nne kama msimu uleee...... na simba mechi ya dar lazima ashinde.
you boy repeat your text again ok?Huenda hajui mpira mkuu, hajui kuwa Vyura wanalazimika jua liwake au lisiwake ni lazima wafunge goli ndio wapite na hapo itategemea na FT results.
.
Simba hapa lazima ashinde wale watoto wadogo sana

Vipi unajisikiaje sahz?mpira hujui wewe.. yanga ndio ana hali mbaya
Niachee nilishasahauyou boy repeat your text again ok?
NdandaHongereni; nusu fainali mnacheza na nani???
Uliona mbaliNimekaa mara fikra za woga zimenijia. Nahofia timu yangu Lunyasi wa Msimbazi kuaga mapema kwenye michuano ya CCL. Naomba iwe ni ndoto tu
Kumbuka kwenye mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza walitoka sare ya bila kufungana AS SONGO ya Msumbiji
Ndugu zangu sare ya bilakufungana ugenini ni hatari sana. Unatembea kwenye uzi mwembaamba sana baina ya kusongambele na kutupwa nje ya mashindano.
Hapo hakuna alternative kwa Simba zaidi ya ushindi. Afadhali ile sare waliotoka watani zetu wa Jangwani na Township Rollers, sare ya bao moja kwa moja. Kama Yanga wakikaza ugenini wakatoka angalau sare ya bao mbili kwa mbili au zaidi wanafuzu kwa raundi inayofuata
Msimbazi akitoa sare ya magoli ya aina yoyote anaaga mashindano, suluhu ya bilabila ni changamoto ya mikwaju ya penati ambayo sikuzote haina mwenyewe!
Tuliidharau timu hii ya Mozambique lakini siku zote Msumbiji hua inatusumbua sana iwe kwa ngazi ya vilabu na hata timu ya Taifa. Wana style yao ya kufunga goli dakika tano za mwanzo na likang'ang'ania hadi mpira unaisha
Natoa wito kwa viongozi na hasa benchi la ufundi wasiwachukulie poa hawa jamaa
Waache kabisa tabia yao ya kufanya majaribio ya wachezaji na aina ya uchezaji, tabia ambayo kocha wetu Patric anayo sana. Waweke kikosi cha kazi isitukute aibu tukakosa pa kuweka sura zetu
Sisi mashabiki panapo majaaliwa tutakuwepo uwanja wa Taifa kutoa sapoti inayohitajika kama kawaida yetu
SIMBA NGUVU MOJA
Na walifanikiwa kufunga goliHuenda hajui mpira mkuu, hajui kuwa Vyura wanalazimika jua liwake au lisiwake ni lazima wafunge goli ndio wapite na hapo itategemea na FT results.
.
Simba hapa lazima ashinde wale watoto wadogo sana
AiseeeeWale jamaa hawana forward ya kudumbukiza mpira kambani ilo ndo tatizo lao
Majibu umeyapataMtoa mada ni mbumbumbu haswa
Daktari kafa mgonjwa kabakimpira hujui wewe.. yanga ndio ana hali mbaya