Chama langu Simba hatari inakuja tuchukue tahadhari

Kiongozi hii ni kweli kabisa! Sikumbuki ni lini tumewahi kuwafunga Msumbiji kuanzia kwenye klubs au timu ya taifa! Tangu walipotutia nuksi kwa Mchina, Msumbiji siwataki kabisa!! Yaani ile mijamaa inajua kabisa tumeiita kudumisha udugu wetu katika kuzindua uwanja wetu lakini bado ikatutandika!!!
Mechi ya kuzindua uwanja tulishinda.Na goli alifunga Abdi Kassim Babi,nadhani baada ya hapo kukawa Na mechi ya mashindano nadhani tulikuwa tunahitaji droo au ushindi.Maskini goli la Mwanzoni la Black Mamba lililofungwa Na Tico Tico halikurudi mpaka 90 zinaisha
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom