Chama langu Simba hatari inakuja tuchukue tahadhari

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Messages
5,166
Points
2,000

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2012
5,166 2,000
Kumbe enh! Labda kwavile bado nina kumbukumbu mbaya ya ile mechi ambayo nilikuwa mkoa nikasafiri hadi Dar! Hadi leo naipata taswira ya wachezaji wa The Mambazi na zile jezi zao walivyokuwa wanashangilia ushindi!
Na magoli yote yalifungwa upande was jukwaa la yanga.... Mechi na Uganda Alifunga Abdi Kassim Babi kwa shuti, mechi na Nchumbiji tulifungwa na TicoTico kwa diving header ...
 
Northman

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Messages
977
Points
1,000

Northman

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2016
977 1,000
Hofu yako imetimia. Siku nyingine hakikisha unafikisha taarifa kote kote huenda zikafanyiwa kazi
Umeangalia jinsi alivyoshambuliwa humu? Hakuna mtu ambaye angemuelewa mtoa mada, huyu mtu anaijua timu yake na anaujua mpira. Sio mambo ya kukariri tu kwamba tukiwa homeground tutashinda, huu ni mpira unachezwa uwanjani kila mtu anaona.
 
PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
6,438
Points
2,000

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
6,438 2,000
Kiongozi hii ni kweli kabisa! Sikumbuki ni lini tumewahi kuwafunga Msumbiji kuanzia kwenye klubs au timu ya taifa! Tangu walipotutia nuksi kwa Mchina, Msumbiji siwataki kabisa!! Yaani ile mijamaa inajua kabisa tumeiita kudumisha udugu wetu katika kuzindua uwanja wetu lakini bado ikatutandika!!!
Mara ya mwisho ilikuwa 2003 walikuwa Feroviario
2011 simba walitolewa na Textile de pungue hapa hapa kwa mchina kwa magoli ya penalty

Wachezaji wa simba walijiamini kupita kiasi as if walikuwa na goli mkononi.

Usajili wa simba haukuzingatia mahitaji ya timu hata kama wangevuka hapa wasingevuka hatua inayofuata.
So sad itabidi wakubali kujiendesha kwa hasara msimu huu kutokana na uendeshaji wa timu kishabiki.
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
7,527
Points
2,000

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
7,527 2,000
Wachezaji wa simba walijiamini kupita kiasi as if walikuwa na goli mkononi.

Usajili wa simba haukuzingatia mahitaji ya timu hata kama wangevuka hapa wasingevuka hatua inayofuata.
So sad itabidi wakubali kujiendesha kwa hasara msimu huu kutokana na uendeshaji wa timu kishabiki
Observation yako ipo sahihi kabisa kiongozi. Performance ya msimu uliopita kwenye CCL iliwadanganya sana kuanzia viongozi, wachezaji, benchi la ufundi na hata mashabiki wa Simba ambao waliamini historia ndio itaamua mechi. Inawezekana Simba ingepangiwa na timu yenye jina kubwa Afrika na ikaingia kama underdogs wangeweza kufanya vizuri zaidi ya hivi kutokana na walivojijenga ki saikolojia

Kwenye usajili ndio walinishangaza sana maana wakarudia makosa yaleyale ya miaka yote ya kusajili kishabiki na kishamba bila kuzingatia mahitaji ya kiufundi ya timu. Bado tuna safari ndefu sana kwenye maendeleo ya vilabu vyetu maana resources nyingi zinatumika lakini bila weledi ni kuzipoteza fursa na rasilimali
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
7,527
Points
2,000

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
7,527 2,000
Mara ya mwisho ilikuwa 2003 walikuwa Feroviario
2011 simba walitolewa na Textile de pungue hapa hapa kwa mchina kwa magoli ya penalty
Naona hizi timu za Feroviario (Railways) ndio kidogo zina historia ya kutolewa na Simba kwani hata ile 1993 ilipocheza fainali za kombe la Abiola(CAF) mojawapo ya hatua za awali Simba iliitoa Feroviario De Maputo kwa faida ya goli la ugenini
 
Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Messages
5,139
Points
2,000

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2009
5,139 2,000
Mashabimi wengi wa simba ni mashabiki maandazi ya mana ntimie nje linaonekana limejaa ndani hamna kitu..maana si mlivyomtusi mshabiki mwenzenu sasa hivi mnaona aibu.

Poleni sana watani.
 
PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
6,438
Points
2,000

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
6,438 2,000
Observation yako ipo sahihi kabisa kiongozi. Performance ya msimu uliopita kwenye CCL iliwadanganya sana kuanzia viongozi, wachezaji, benchi la ufundi na hata mashabiki wa Simba ambao waliamini historia ndio itaamua mechi. Inawezekana Simba ingepangiwa na timu yenye jina kubwa Afrika na ikaingia kama underdogs wangeweza kufanya vizuri zaidi ya hivi kutokana na walivojijenga ki saikolojia

Kwenye usajili ndio walinishangaza sana maana wakarudia makosa yaleyale ya miaka yote ya kusajili kishabiki na kishamba bila kuzingatia mahitaji ya kiufundi ya timu. Bado tuna safari ndefu sana kwenye maendeleo ya vilabu vyetu maana resources nyingi zinatumika lakini bila weledi ni kuzipoteza fursa na rasilimali
Najaribu kufuatilia takwimu za simba za usajili kwa misimu mitatu mfululizo zinatisha sana.
2016-2017 walitumia approximately 500m
Wakawasajili.
Shiza kichuya
Mzamiru Yassin
Methid wanjali
Murshid Juuko
Lodit Mavugo
Vicent Angban
Bessala Bokungu
Na muivori coast mmoja aliishia kuwafunga mbao tu.
Baadae wakamuongeza
Danny Aggyei
James kotei.

2017-2018 walitumia approximately 1billioni
Kwa kuwasajili.
1Emanuel Okwi
2 Haruna Niyonzima
3 Shomari Kapombe
4 Ally shomari
5 Erasto Nyoni
6 John Bocco
7Aishi Manula
8 Yussuf Mlipili
9. Said Mohammed Nduda.
10 Asante Kwasi
11 Nicolas gyan
Msimu wa 2018-2019
Walitumia approximately 1.3b kwa kuwanunua
1 paschal Wawa
2 Rashid Mohammed
3 Marcel Kaheza
4 Adam Salamba
5 Meddie Kagere
6 Deogratius Dida
7 Zana Coulibally
8 Hassan Dilunga
9 Claotus Chama

2019-2020 wametulia approximately 1b +
Kwa usajili wa hawa.
1 Francis kahata
2 Deo kanda
3 Tairone Dasilva
4 Henrique wilker
5 Gerson Fraga
6 Eldin Shiboub
7 Ibrahim Ajib
8 Gadiel Michael
9 Beno kakolanya
10 Miraj Adam
11 Kennedy Wilson
12 Haruna Shamte

Kikosi hiki walichosajili msimu huu ukiondoa Miraji Adam wachezaji wengine waliobaki almost miaka yao ni 30 years kila mmoja haya ni matumizi mabaya ya akili na pesa.

Ukiangalia misimu yote hii mitatu simba wamefanya usajili wa wachezaji 10+ kila msimu bila mwendelezo wa kuboreka kwa kikosi hii maana yake simba wanasajili kwa mahitaji ya muda mfupi.

Uongozi wa simba usichokijua ni kwamba kikosi kilichofanya vizuri msimu uliopita kilikuwa pamoja kwa miaka miwili nyuma lakini msimu huu walifanya usajili wa kukusanya bila kuzingatia malengo ya muda mrefu ya timu.

Next season more than half ya squad ya simba watakuwa above 30
1 Nyoni
2 wawa
3 Bocco
4 deo Kanda
5,Chama
6 Shiboub
7 tairone Dasilva
8 wilker
9 Kagere
10 Kapombe
11 Shamte
12 Bocco
Hii maana yake tutegemee kuflop kwa viwango vyao tena je simba imejiandaa kufanya usajili wa billion + tena msimu ujao ?
 
PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
6,438
Points
2,000

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
6,438 2,000
Naona hizi timu za Feroviario (Railways) ndio kidogo zina historia ya kutolewa na Simba kwani hata ile 1993 ilipocheza fainali za kombe la Abiola(CAF) mojawapo ya hatua za awali Simba iliitoa Feroviario De Maputo kwa faida ya goli la ugenini
Ni kweli Mkuu simba wanatakiwa wabadilike ikiwezekana waajiri technical director awe na scouting department itawasaidia kutengeneza timu imara ya muda mrefu.

Ni matumizi mabaya ya pesa, akili na mashabiki kusajili magarasa na wazee halafu unakuja kuabishwa na vitimu vya kitoto kama hivi.
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
7,527
Points
2,000

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
7,527 2,000
Najaribu kufuatilia takwimu za simba za usajili kwa misimu mitatu mfululizo zinatisha sana.
2016-2017 walitumia approximately 500m
Wakawasajili.
Shiza kichuya
Mzamiru Yassin
Methid wanjali
Murshid Juuko
Lodit Mavugo
Vicent Angban
Bessala Bokungu
Na muivori coast mmoja aliishia kuwafunga mbao tu.
Baadae wakamuongeza
Danny Aggyei
James kotei.

2017-2018 walitumia approximately 1billioni
Kwa kuwasajili.
1Emanuel Okwi
2 Haruna Niyonzima
3 Shomari Kapombe
4 Ally shomari
5 Erasto Nyoni
6 John Bocco
7Aishi Manula
8 Yussuf Mlipili
9. Said Mohammed Nduda.
10 Asante Kwasi
11 Nicolas gyan
Msimu wa 2018-2019
Walitumia approximately 1.3b kwa kuwanunua
1 paschal Wawa
2 Rashid Mohammed
3 Marcel Kaheza
4 Adam Salamba
5 Meddie Kagere
6 Deogratius Dida
7 Zana Coulibally
8 Hassan Dilunga
9 Claotus Chama

2019-2020 wametulia approximately 1b +
Kwa usajili wa hawa.
1 Francis kahata
2 Deo kanda
3 Tairone Dasilva
4 Henrique wilker
5 Gerson Fraga
6 Eldin Shiboub
7 Ibrahim Ajib
8 Gadiel Michael
9 Beno kakolanya
10 Miraj Adam
11 Kennedy Wilson
12 Haruna Shamte

Kikosi hiki walichosajili msimu huu ukiondoa Miraji Adam wachezaji wengine waliobaki almost miaka yao ni 30 years kila mmoja haya ni matumizi mabaya ya akili na pesa.

Ukiangalia misimu yote hii mitatu simba wamefanya usajili wa wachezaji 10+ kila msimu bila mwendelezo wa kuboreka kwa kikosi hii maana yake simba wanasajili kwa mahitaji ya muda mfupi.

Uongozi wa simba usichokijua ni kwamba kikosi kilichofanya vizuri msimu uliopita kilikuwa pamoja kwa miaka miwili nyuma lakini msimu huu walifanya usajili wa kukusanya bila kuzingatia malengo ya muda mrefu ya timu.

Next season more than half ya squad ya simba watakuwa above 30
1 Nyoni
2 wawa
3 Bocco
4 deo Kanda
5,Chama
6 Shiboub
7 tairone Dasilva
8 wilker
9 Kagere
10 Kapombe
11 Shamte
12 Bocco
Hii maana yake tutegemee kuflop kwa viwango vyao tena je simba imejiandaa kufanya usajili wa billion + tena msimu ujao ?
That is detailed analytical observation mkuu, hongera saana. Kwa maana hiyo tatizo kubwa lipo kwa viongozi. Hawana vision bali wanaenda tu kufuata malengo ya muda mfupi wapate cheap popularity, ndio maana kuna hata mikataba ya miezi sita kwa baadhi ya wachezaji na staff wa bench la ufundi
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
7,527
Points
2,000

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
7,527 2,000
Ni kweli Mkuu simba wanatakiwa wabadilike ikiwezekana waajiri technical director awe na scouting department itawasaidia kutengeneza timu imara ya muda mrefu.

Ni matumizi mabaya ya pesa, akili na mashabiki kusajili magarasa na wazee halafu unakuja kuabishwa na vitimu vya kitoto kama hivi.
Wasiwasi wangu wasije wakam frustrate mwekezaji maana kuna style ya uendeshaji timu hasa kwenye usajili kama ya kipigajipigaji hivi
 
Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
5,483
Points
2,000

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
5,483 2,000
That is detailed analytical observation mkuu, hongera saana. Kwa maana hiyo tatizo kubwa lipo kwa viongozi. Hawana vision bali wanaenda tu kufuata malengo ya muda mfupi wapate cheap popularity, ndio maana kuna hata mikataba ya miezi sita kwa baadhi ya wachezaji na staff wa bench la ufundi
Hawa jamaa wanaendesha klabu kimazoea tu hata sajili zao ni utata tu
 
PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
6,438
Points
2,000

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
6,438 2,000
That is detailed analytical observation mkuu, hongera saana. Kwa maana hiyo tatizo kubwa lipo kwa viongozi. Hawana vision bali wanaenda tu kufuata malengo ya muda mfupi wapate cheap popularity, ndio maana kuna hata mikataba ya miezi sita kwa baadhi ya wachezaji na staff wa bench la ufundi
Simba wanatakiwa kuwa serious waache matumizi ya hovyo hovyo namna hii. Haiwezekana kila msimu usajili wachezaji zaidi ya kumi kila msimu haya ni.matumizi mabaya ya pesa.
 
PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
6,438
Points
2,000

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
6,438 2,000
Wasiwasi wangu wasije wakam frustrate mwekezaji maana kuna style ya uendeshaji timu hasa kwenye usajili kama ya kipigajipigaji hivi
Board of directors wanapaswa kuja na strategy ya kuendesha timu kisasa wakati wa transfer kocha anapaswa kuwepo na wawe wanafanya transfer kwa projection ya misimu hata mitatu au minne.

Naikumbuka simba ya kina Boniface pawasa ilidumu pamoja kwa.misimu mitano sasa hivi tunakwama wapi ?
 
Forum statistics

Threads 1,343,405
Members 515,033
Posts 32,783,692
Top