Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,056
- Thread starter
- #61
Kuna wakati kama kweli tunazipenda timu zetu inabidi tuwaambie ukweli. Simba hii timu waliidharau na wamejiamini kupita kiasi. Wanaingia uwanjani kwa kucheza na historiaKwa jinsi walivyocheza simba kule msumbiji kuna hatari wakatolewa mapema tu kwenye michuano hii.
Wakishikiliwa mpaka penalty watatolewa tu maana wanavyocheza ni kama wanalewa kwanza ndiyo wanaingia uwanjani.
Waamke wachukulie mambo seriously