Dr slaa lazima ajute kucheza na zitto atapata shida kweli kwenye hii dunia tumuombee.
Una akili za kwendea MSALANI tu wewe
Last edited by a moderator:
Dr slaa lazima ajute kucheza na zitto atapata shida kweli kwenye hii dunia tumuombee.
Mimi ni Mkweere wa Magindu. Ninafurahia sana maisha yangu ndani ya ChademaShauri zenu
waachieni hao wachagga na wameru hicho
chama mtaona mwisho wake, mie niko hapa.
slaa amechuja, amebaki kuweweseka tu. chama kinamfia amebaki na matamko yasiyo na tija. hadi mwaka huu uishe atakuwa amebaki yeye na mbowe peke yao.
Kwani lazima ikombolewe na Chagadema?
ni kweli kabisa tunahitaji chama mbadala wa ccm lakini chadema NO.
Mimi ni Mkweere wa Magindu. Ninafurahia sana maisha yangu ndani ya Chadema
Badala ya kufungua makampuni ya kuwekeza hasa kwenye KILIMO na UFUGAJI, watu kila siku na madegree yao ni kufikiri kufungua vyama vya siasa tu -- KUNA BIASHARA GANI HUKO????
Ndio mnadanganywa hivyo na hao wazinzi, (Wile na Freeman)
Mweleze mkuu, nafikiri hajajitambu akuwa hatambuliki kwingineko zaidi ya kwao!!! Usaliti wake hakuna atakayeweza kuukubali hata kidogo!!! Chama kitakufa tu hiki!!! ZZK saliti mabari mosi, hafiki mbali kisiasa!!! Tusubiri 2015 tuone!!Chama cha ACT ni kweli kipo na nimeshaona kadi kadi ya mwanachama mmoja wapo , wanaendelea tu kuvuna members kwa kufujo ila sanax2 mkoani kigoma na wilaya zake maana Zitto ndipo anapokubalika sana na ndugu zake ila wasix2 wangu tu ni hiki chama pia kuja kuonekana cha kikabila hivi karibuni......🙂
Badala ya kufungua makampuni ya kuwekeza hasa kwenye KILIMO na UFUGAJI, watu kila siku na madegree yao ni kufikiri kufungua vyama vya siasa tu -- KUNA BIASHARA GANI HUKO????
Mtakaa tu!hakuna ubaguzi usio na malipo!Mh. Dr. Slaa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo akiwa Iringa amesema wamebariki madiwani 2 walioomba kujiuzulu Shinyanga, hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli, madiwani hao moja ya sababu kubwa ya kujiuzulu ni kwamba wanamuunga mkono Mh. Zitto , Mh. Dr. Slaa amesema kuna taarifa pia kuwa chama cha ACT kiko mbioni kusajiliwa na baadhi ya wale waliovuliwa uanachama CHADEMA.Kama ni kweli chama hicho kitasajiliwa na viongozi wake ni miongoni mwa waliovuliwa uanachama CHADEMA, basi Dr. Kitila Mkumbo atakuwa ni mtu wa kuogopwa kama UGONJWA WA KUFISHA, ataogopwa na kizazi kilichoshuhudia usaliti wake na kizazi kitakacho kuja kuzaliwa na kusimuliwa kisa hiki.Kama watafanya kosa hilo la kusajili chama hicho , natabiri wakiweza kupata wanachama hata elfu kumi kwa nchi nzima basi ntajua watanzania wengi hatunazo akili. Dr. Kitila amekuwa akinukuliwa na magazeti baada ya usaliti wake kukwama na kuvuliwa uanachama akisema tunahitaji chama mbadala cha upizani zaidi ya CHADEMA kumbe malengo yake yalikuwa ni hayo. Huyu mtu ni msomi mzuri lakini nashawishika kusema siasa sio mahali pake alikosea njia, na kama ni mahali pake basi anauchu mbaya sana na tamaa ya madaraka.Tunahitaji kuikomboa Tanzania kwa kuiondoa CCM madarakani