slaa amechuja, amebaki kuweweseka tu. chama kinamfia amebaki na matamko yasiyo na tija. hadi mwaka huu uishe atakuwa amebaki yeye na mbowe peke yao.
hizi gongo hizi, zitatuharibia vijana wetu kabisa.Your ID sums it all.
1. mnahitaji kuikomboa tanzania
2. mnahitaji kuiondoa ccm madarakani.........................
tafsiri ya sentensi hizo ni kwamba
1. mnawalaghai watanzania kuwa nyie ni wakombozi kumbe mna uchu wa madaraka hata kwa kumwaga damu
2. lengo lenu ni kuiondoa ccm, kipenzi cha watanzania, sio kuikomboa nchi ambayo imekombolewa mwaka 1961
3. rejea maneno ya kitila kuwa ni heri mkoloni mweusi (ccm) kuliko mkoloni mwekundu (chadema).
NB MALENGO YENU BATILI HAYATAFANIKIWA KAMWE.

chadema na washangaa sana,,aise!
Huyu babu mzinzi kawapa nini sijui, vijana sikuhizi mnashidwa hata kuwa na fikira za kujitegemea!? Juzijuzi tu hapa mlikuwa mnalalamika ,,mara zitto aanzishe chama atuachie chama chetu wakaskazin ,sasa kashakianzisha leo mnasema kitakufa hakifiki mbali maneno mengi ya nini,,tulia dawa ya kabwe iwaingie sawasawa,
Ubaguzi ndo umewamaliza.