Chama Kipya cha Siasa Kusajiliwa

Chama Kipya cha Siasa Kusajiliwa

Tatizo wanasiasa wa Bongo wanauchu mkubwa sana wa madaraka kama fisi.
Subirini 2015. Msiangaike kuandikia mate na wino ungalipo.
:coffee:
 
Na mimi nitajiunga na hicho chama kije haraka. Slaa badala ya kumnadi huyo Tendega wake bado anapiga stor za kina Kitila

Slaa ni laghai! Hana cha kampeni wala nini, hotuba zake zoote ni repitative, hana jipya! Sasa kampeni za Kalenga na Ujio wa chama kipya ndio wanakalenga wanataka kujua? Wanahitaji sera za chagadema na sio ma stori ya marudio! Kutwa tembo, madawa,fisadi, watu wameshasikia sana habari hizo Slaa sema ndani ya miaka mitano Kalenga mtaifanyia nini na Hilo Tendegu lenu la kitanda!
 
Imeshakula kwao,kama Zito anataka kuanzisha chama kwa nini asitafute watu wa kumuunga mkono?badala yake ananunua wanachama wa CDM kwa kutumia hela Mkono na Nchemba kutoka hazina..
 
Wakati mwingine huwa napata wakati mgumu sana kumuelewa Dr Slaa, sio kwa kuwa aongeayo ni magumu kueleweka bali huwa anaongea sana kiasi ni rahisi kusoma anachowaza.
 
Mbona unaonekana kama vile UNAOGOPA sana kusikia kitila anataka kuanzisha chama..!!! Shida nn kwani..?? Acha waanzishe wauze sera zao, na kama watakuja na solution ya matatizo ya watanzania bac wataungwa mkono..!! Tumeshachoka na vyama vya siasa ambavyo kila siku vinalaumu tuuuu bt hata sikumoja wao hawasemi wakiingia madarakani watasolve vp hayo matatizo..!!!! TUNATAKA VYAMA VYENYE SERA NA SIO NGONJERA..!!!
 
KWa mtu ambaye hamweli kitila atapat shda sna.km alikuwa anahongw laki2 na zzk kuhujumu chama sa hapo kuna msomi au tope
 
Mh. Dr. Slaa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo akiwa Iringa amesema wamebariki madiwani 2 walioomba kujiuzulu Shinyanga, hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli, madiwani hao moja ya sababu kubwa ya kujiuzulu ni kwamba wanamuunga mkono Mh. Zitto , Mh. Dr. Slaa amesema kuna taarifa pia kuwa chama cha ACT kiko mbioni kusajiliwa na baadhi ya wale waliovuliwa uanachama CHADEMA.

Kama ni kweli chama hicho kitasajiliwa na viongozi wake ni miongoni mwa waliovuliwa uanachama CHADEMA, basi Dr. Kitila Mkumbo atakuwa ni mtu wa kuogopwa kama UGONJWA WA KUFISHA, ataogopwa na kizazi kilichoshuhudia usaliti wake na kizazi kitakacho kuja kuzaliwa na kusimuliwa kisa hiki.

Kama watafanya kosa hilo la kusajili chama hicho , natabiri wakiweza kupata wanachama hata elfu kumi kwa nchi nzima basi ntajua watanzania wengi hatunazo akili. Dr. Kitila amekuwa akinukuliwa na magazeti baada ya usaliti wake kukwama na kuvuliwa uanachama akisema tunahitaji chama mbadala cha upizani zaidi ya CHADEMA kumbe malengo yake yalikuwa ni hayo. Huyu mtu ni msomi mzuri lakini nashawishika kusema siasa sio mahali pake alikosea njia, na kama ni mahali pake basi anauchu mbaya sana na tamaa ya madaraka.

Tunahitaji kuikomboa Tanzania kwa kuiondoa CCM madarakani
teh.....teh......teh.......kuhama chama nayo ni demokrasia kama mtu akihama chama usikimbilie kuanza kumkashifu na kusema kama akipata wafuasi basi watanzania hatuna akili hayo ni matusi makubwa kwa watanzania na hayakisaidii chama chako, wewe unachotakiwa kufanya ni kujipanga na kuangalia mnafanya nini ili kuvutia wapiga kura wa vyama vingine na sisi ambao hatuna vyama ambao kwa mujibu wa takwimu ndiyo kundi kubwa.
 
Utaifakwanza HIVI UKO PEKE YAKO KATIKA THREAD HIZI AU UPO KAZINI umejaa mno au haujiamini?ukidhani kuandika kila wazo lako ndo Ustaarabu. achia nafasi watu wengine. uwe na kiasi na kuthamini mawazo ya watu wengine.
 
1. mnahitaji kuikomboa tanzania
2. mnahitaji kuiondoa ccm madarakani.........................
tafsiri ya sentensi hizo ni kwamba

1. mnawalaghai watanzania kuwa nyie ni wakombozi kumbe mna uchu wa madaraka hata kwa kumwaga damu
2. lengo lenu ni kuiondoa ccm, kipenzi cha watanzania, sio kuikomboa nchi ambayo imekombolewa mwaka 1961
3. rejea maneno ya kitila kuwa ni heri mkoloni mweusi (ccm) kuliko mkoloni mwekundu (chadema).
NB MALENGO YENU BATILI HAYATAFANIKIWA KAMWE.

Hapo nilipokoleza wino nina mashaka napo sana,hebu chunguza tena kisha urudi,nahisi una mahaba makubwa na magamba.
 
Mwenyekiti mtarajiwa wa hiyo ACT ni nani?

8PgpbTLUbeBR0AAAAASUVORK5CYII=

Ni ZZK?
 
Mh. Dr. Slaa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo akiwa Iringa amesema wamebariki madiwani 2 walioomba kujiuzulu Shinyanga, hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli, madiwani hao moja ya sababu kubwa ya kujiuzulu ni kwamba wanamuunga mkono Mh. Zitto , Mh. Dr. Slaa amesema kuna taarifa pia kuwa chama cha ACT kiko mbioni kusajiliwa na baadhi ya wale waliovuliwa uanachama CHADEMA.

Kama ni kweli chama hicho kitasajiliwa na viongozi wake ni miongoni mwa waliovuliwa uanachama CHADEMA, basi Dr. Kitila Mkumbo atakuwa ni mtu wa kuogopwa kama UGONJWA WA KUFISHA, ataogopwa na kizazi kilichoshuhudia usaliti wake na kizazi kitakacho kuja kuzaliwa na kusimuliwa kisa hiki.

Kama watafanya kosa hilo la kusajili chama hicho , natabiri wakiweza kupata wanachama hata elfu kumi kwa nchi nzima basi ntajua watanzania wengi hatunazo akili. Dr. Kitila amekuwa akinukuliwa na magazeti baada ya usaliti wake kukwama na kuvuliwa uanachama akisema tunahitaji chama mbadala cha upizani zaidi ya CHADEMA kumbe malengo yake yalikuwa ni hayo. Huyu mtu ni msomi mzuri lakini nashawishika kusema siasa sio mahali pake alikosea njia, na kama ni mahali pake basi anauchu mbaya sana na tamaa ya madaraka.

Tunahitaji kuikomboa Tanzania kwa kuiondoa CCM madarakani
ni kweli kabisa tunahitaji chama mbadala wa ccm lakini chadema NO.
 
Badala ya kufungua makampuni ya kuwekeza hasa kwenye KILIMO na UFUGAJI, watu kila siku na madegree yao ni kufikiri kufungua vyama vya siasa tu -- KUNA BIASHARA GANI HUKO????

mkuu una akili kama elnino kweli..maprof wanakimbilia siasa...badala ya kuandika vitabu na kutrain watu.
 
Slaa ni laghai! Hana cha kampeni wala nini, hotuba zake zoote ni repitative, hana jipya! Sasa kampeni za Kalenga na Ujio wa chama kipya ndio wanakalenga wanataka kujua? Wanahitaji sera za chagadema na sio ma stori ya marudio! Kutwa tembo, madawa,fisadi, watu wameshasikia sana habari hizo Slaa sema ndani ya miaka mitano Kalenga mtaifanyia nini na Hilo Tendegu lenu la kitanda!

wewe punguani kweli,hivi ni maendeleo gani yanaweza kupatikana ktk nchi inayoendeshwa kifisadi?????? vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa wanaathiriwa na madawa ya kulevya,maliasili za taifa zinatoweka huku deni la taifa likizidi kupaa na hakuna maendeleo yoyote ya maana yanayowiana na deni la taifa!!! nchi ambayo rais wke anaishi airport,nchi ambayo inakopa pesa kwa ajili ya safari za anasa zisizo na tija!!!!!
Kalenga watapataje maendeleo ktk mazingira kama hayo ya kifisadi????
Kazi ya kwanza tuliyonayo kama wazalendo wa kweli ni kuwaondoa hawa wahuni na vibaka waliopo magogoni! tunawaomba wana Kalenga waianzishe hiyo safari ya kuwafurumusha hawa vibaka kwenye ikulu yetu tukufu wanayoinajisi na waulangazie ulimwengu kuwa siku za chama cha mizigo zimebaki chache na zinahesabika!!!
 
Dr slaa lazima ajute kucheza na zitto atapata shida kweli kwenye hii dunia tumuombee.
 
Back
Top Bottom