Chama Kipya cha Siasa Kusajiliwa

Chama Kipya cha Siasa Kusajiliwa

Mtaishia kumlaumu mkombozi kwa kuwatetea wahafidhina. wenye akili timamu wamejitambua wakatumia akili zao kufanya maamuzi mmebaki misukule wachache mki brush viatu vya wahafidhina.

Mbona yeye bado ameng'ang'ania cdm?yeye ndiye angekua mfano wa kwanza kuondoka.Mrema aliona upuuzi wa ccm akawa wa kwanza kuondoka ccm bila kuwatumia watu wengine
 
mimi nakushauri uache kutumia kichwa kufugia nywele peke yake. utakosa mengi. ndio nyie mnaokaa vijiweni mkisubiri maisha bora yawafuate hapo mlipo.
You have a very serious problem ,that is imagination, hivi wewe unafikiri watu hatuna kazi za kufanya ? wewe unaweza ukafahamu kila mtu anafanya kazi gani na ana kipato gani ? pole sana
 
Mh. Dr. Slaa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo akiwa Iringa amesema wamebariki madiwani 2 walioomba kujiuzulu Shinyanga, hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli, madiwani hao moja ya sababu kubwa ya kujiuzulu ni kwamba wanamuunga mkono Mh. Zitto , Mh. Dr. Slaa amesema kuna taarifa pia kuwa chama cha ACT kiko mbioni kusajiliwa na baadhi ya wale waliovuliwa uanachama CHADEMA.

Kama ni kweli chama hicho kitasajiliwa na viongozi wake ni miongoni mwa waliovuliwa uanachama CHADEMA, basi Dr. Kitila Mkumbo atakuwa ni mtu wa kuogopwa kama UGONJWA WA KUFISHA, ataogopwa na kizazi kilichoshuhudia usaliti wake na kizazi kitakacho kuja kuzaliwa na kusimuliwa kisa hiki.

Kama watafanya kosa hilo la kusajili chama hicho , natabiri wakiweza kupata wanachama hata elfu kumi kwa nchi nzima basi ntajua watanzania wengi hatunazo akili. Dr. Kitila amekuwa akinukuliwa na magazeti baada ya usaliti wake kukwama na kuvuliwa uanachama akisema tunahitaji chama mbadala cha upizani zaidi ya CHADEMA kumbe malengo yake yalikuwa ni hayo. Huyu mtu ni msomi mzuri lakini nashawishika kusema siasa sio mahali pake alikosea njia, na kama ni mahali pake basi anauchu mbaya sana na tamaa ya madaraka.

Tunahitaji kuikomboa Tanzania kwa kuiondoa CCM madarakani

Kwani lazima ikombolewe na Chagadema?
 
Kwani Wachaga na chadema yenu hamtoshi kuikomboa nchi hadi muhangaike sehemu zingine kutafuta followers??

Udini na ukabila hauna nafasi,futeni ndoto zenu za alinacha,nendeni kwanza mkajenge danguro lenu pale UFIPA

IKULU MAHALA PATAKATIFU
 
Mh. Dr. Slaa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo akiwa Iringa amesema wamebariki madiwani 2 walioomba kujiuzulu Shinyanga, hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli, madiwani hao moja ya sababu kubwa ya kujiuzulu ni kwamba wanamuunga mkono Mh. Zitto , Mh. Dr. Slaa amesema kuna taarifa pia kuwa chama cha ACT kiko mbioni kusajiliwa na baadhi ya wale waliovuliwa uanachama CHADEMA.

Kama ni kweli chama hicho kitasajiliwa na viongozi wake ni miongoni mwa waliovuliwa uanachama CHADEMA, basi Dr. Kitila Mkumbo atakuwa ni mtu wa kuogopwa kama UGONJWA WA KUFISHA, ataogopwa na kizazi kilichoshuhudia usaliti wake na kizazi kitakacho kuja kuzaliwa na kusimuliwa kisa hiki.

Kama watafanya kosa hilo la kusajili chama hicho , natabiri wakiweza kupata wanachama hata elfu kumi kwa nchi nzima basi ntajua watanzania wengi hatunazo akili. Dr. Kitila amekuwa akinukuliwa na magazeti baada ya usaliti wake kukwama na kuvuliwa uanachama akisema tunahitaji chama mbadala cha upizani zaidi ya CHADEMA kumbe malengo yake yalikuwa ni hayo. Huyu mtu ni msomi mzuri lakini nashawishika kusema siasa sio mahali pake alikosea njia, na kama ni mahali pake basi anauchu mbaya sana na tamaa ya madaraka.

Tunahitaji kuikomboa Tanzania kwa kuiondoa CCM madarakani

Huyu dr Kitila alikuchukulia mke? acha upu.m.bavu. Stick kwenye main theme ya usajili wa chamana madiwani kujiuzulu. so far hujathibitisha kuwa Kitila anahusika. kumtukana na kumshutumu Kitila hakutakusaidia kuiondoa madarakani ccm.
 
Mh. Dr. Slaa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo akiwa Iringa amesema wamebariki madiwani 2 walioomba kujiuzulu Shinyanga, hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli, madiwani hao moja ya sababu kubwa ya kujiuzulu ni kwamba wanamuunga mkono Mh. Zitto , Mh. Dr. Slaa amesema kuna taarifa pia kuwa chama cha ACT kiko mbioni kusajiliwa na baadhi ya wale waliovuliwa uanachama CHADEMA.

Kama ni kweli chama hicho kitasajiliwa na viongozi wake ni miongoni mwa waliovuliwa uanachama CHADEMA, basi Dr. Kitila Mkumbo atakuwa ni mtu wa kuogopwa kama UGONJWA WA KUFISHA, ataogopwa na kizazi kilichoshuhudia usaliti wake na kizazi kitakacho kuja kuzaliwa na kusimuliwa kisa hiki.

Kama watafanya kosa hilo la kusajili chama hicho , natabiri wakiweza kupata wanachama hata elfu kumi kwa nchi nzima basi ntajua watanzania wengi hatunazo akili. Dr. Kitila amekuwa akinukuliwa na magazeti baada ya usaliti wake kukwama na kuvuliwa uanachama akisema tunahitaji chama mbadala cha upizani zaidi ya CHADEMA kumbe malengo yake yalikuwa ni hayo. Huyu mtu ni msomi mzuri lakini nashawishika kusema siasa sio mahali pake alikosea njia, na kama ni mahali pake basi anauchu mbaya sana na tamaa ya madaraka.

Tunahitaji kuikomboa Tanzania kwa kuiondoa CCM madarakani

Nini maana ya demokrasia mzee? Acha waanzishe mnataka kila mtu awe cdm? Slaa na wenzio mnaendesha chama kibabe afu mnataka watu wabaki kufikr ndan ya box...
 
Hakuna chama kinachi weza kuikomboa tanzania zaidi ya chadema tanzania hii.

wameshindwa kujikomboa wao wenyewe...issue ndogo za kichama wanashindwa na kuanza kutimuana. za Kitaifa na kimataifa wataweza?
 
jnuswe
===>Usiogope,kwani kile cha ADC cha Mh Hamad Rashid kiko wapi?
===>Katibu mkuu wa chama hicho ni Samsoni Mwigamba,usishangae kabisa,wameshapoteza dira zamani sana,watapotea woote hao kama huamnini subiri uone!
 
Last edited by a moderator:
Huyu dr Kitila alikuchukulia mke. acha upu.m.bavu mkuu. Stick kwenye main theme ya usajili wa chama. so far huna uthibitisho kuwa Kitila anahusika.

Mkuu, kwani wanaogopa nini chama kipya kikisajiliwa? Mbona walishasema hawaogopi mtu yeyote na kwamba hakuna aliye zaidi ya Chagadema! Leo wanambwelambwela nini mpaka kumlaumu Dr Kitila! Si wanadai walianza na Mungu, (sijui mungu gani) na wakadai watamaliza na Mungu! Watulie sindano iingie!
 
Na mimi nitajiunga na hicho chama kije haraka. Slaa badala ya kumnadi huyo Tendega wake bado anapiga stor za kina Kitila
 
Mh. Dr. Slaa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo akiwa Iringa amesema wamebariki madiwani 2 walioomba kujiuzulu Shinyanga, hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli, madiwani hao moja ya sababu kubwa ya kujiuzulu ni kwamba wanamuunga mkono Mh. Zitto , Mh. Dr. Slaa amesema kuna taarifa pia kuwa chama cha ACT kiko mbioni kusajiliwa na baadhi ya wale waliovuliwa uanachama CHADEMA.

Kama ni kweli chama hicho kitasajiliwa na viongozi wake ni miongoni mwa waliovuliwa uanachama CHADEMA, basi Dr. Kitila Mkumbo atakuwa ni mtu wa kuogopwa kama UGONJWA WA KUFISHA, ataogopwa na kizazi kilichoshuhudia usaliti wake na kizazi kitakacho kuja kuzaliwa na kusimuliwa kisa hiki.

Kama watafanya kosa hilo la kusajili chama hicho , natabiri wakiweza kupata wanachama hata elfu kumi kwa nchi nzima basi ntajua watanzania wengi hatunazo akili. Dr. Kitila amekuwa akinukuliwa na magazeti baada ya usaliti wake kukwama na kuvuliwa uanachama akisema tunahitaji chama mbadala cha upizani zaidi ya CHADEMA kumbe malengo yake yalikuwa ni hayo. Huyu mtu ni msomi mzuri lakini nashawishika kusema siasa sio mahali pake alikosea njia, na kama ni mahali pake basi anauchu mbaya sana na tamaa ya madaraka.

Tunahitaji kuikomboa Tanzania kwa kuiondoa CCM madarakani

Ulanzi ukichanganya na viroba tena asubuhi asubuhi ndio mtu analeta mada kama yako, upuuzi mtupu.
 
wameshindwa kujikomboa wao wenyewe...issue ndogo za kichama wanashindwa na kuanza kutimuana. za Kitaifa na kimataifa wataweza?

Hawa wakiingia Madarakani wanaweza kumtimua hata Rais wao ndani ya wiki moja na makaleta hasara ya marudio ya uchaguzi, hawana uvumilivu wa mgongano wa fikra, kila anayewaza tofauti na Freema Aikaeli ni muhaini! Namna hii tutafika kweli! Ajabu Ndesamburo wanamgwaya na ni rafiki wa wazi wa EL.
 
Tanzania hakuna wasomi kwani wangekuwepo nchi yetu ingekuwa ndio taifa tajiri zaidi duniani.Tulionao ni wachumia tumboni.
Badala ya kufungua makampuni ya kuwekeza hasa kwenye KILIMO na UFUGAJI, watu kila siku na madegree yao ni kufikiri kufungua vyama vya siasa tu -- KUNA BIASHARA GANI HUKO????
 
Mkuu, kwani wanaogopa nini chama kipya kikisajiliwa? Mbona walishasema hawaogopi mtu yeyote na kwamba hakuna aliye zaidi ya Chagadema! Leo wanambwelambwela nini mpaka kumlaumu Dr Kitila! Si wanadai walianza na Mungu, (sijui mungu gani) na wakadai watamaliza na Mungu! Watulie sindano iingie!

Hawa jamaa ni majuha kabisa mkuu. mimi mtu asiye na mke siwezi kumnadi kabisa kushika uongozi. Kwanza mtu mwenye umri zaidi ya miaka 60 is no longer a material president kwa ulimwengu wa sasa. Wamekigeuza hiki kizee kimalaya kichukua wake za watu kama mungu.
 
Back
Top Bottom