Chama kipya cha siasa, kimekufa?

Chama kipya cha siasa, kimekufa?

Taratibu utasikia wanachofanya. Mwenyekiti alishambuliwa na kujeruhiwa vibaya na kitu kizitokichwani. Ili in few weeks utasikia one of the most audacious move ikichukuliwa nao.

Inasikitisha sana, alikuwa anafanya nini hata "akajeruhiwa vibaya" kichwani? Kwa sasa yuko wapi? hospitali au alijeruhiwa "vibaya" lakini katibiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani?
 
Taratibu utasikia wanachofanya. Mwenyekiti alishambuliwa na kujeruhiwa vibaya na kitu kizitokichwani. Ili in few weeks utasikia one of the most audacious move ikichukuliwa nao.
Mkuu baada ya maigizo ya CCJ bado una imani na vyama vya kwenye Briefcase!!??......
 
Back
Top Bottom