huenda ameongea kifalsafa zaidi. CDM inaweza kuchukua madaraka lakini ni mbadala wa CCM au na yenyewe itakuwa ni yaleyale ya CCM? CDM imejipangaje kuchukua nchi ama ni kwa sababu tu CCM inaboronga basi watu wakakimbilia CDM? Unaweza kuruka majivu ukakanyaga moto! Tungetambua kwanza muktadha wa neno mbadala.
Akiongea katika tuongee asubuhi kupitia Star Tv,yule msomi wetu wa Redet Dr Bana amesema yeye mpaka sasa ajaona chama mbadala cha kuongoza nchi zaidi ya CCM,nadhani hizi ni dalili mbaya kwa wasomi wetu.Badala ya kuwasaidia watanzania kujua haki zao za msingi yeye anasema hakuna wa kuiongoza hii nchi..
CCM imeshindwa kutetea maslahi ya waTz so hata wao wanakosa uhalali wa kuongoza kwa kuwa hawajali mslahi ya walio waweka madarakani.Dr. Bana, kwa hilo namuona ana muono wa upeo mkubwa sana.
Hivi uchukulie mfano wa magwanda, si watasusia nchi hawa mambo yakienda kombo kidogo. Mzee wa kiraracha nachama chake wamesha salim amri, NCCR ndio hoi bin Taaban, CUF ndio tayari na kushinda kwao uchaguzi wa visiwani lakini wamejijuwa kuwa chama chao hakiwezi kuongoza na wameridhia kuongozwa na CCM.
Bana kwa hili uko juu. Wengi sana wanafikiria kupiga kelele na kushinikiza maandamano na kususa ndio kuongoza? hapana. Wangeona mfano Egypt, huko sasa tunaona hata washabiki wa mpira wanauana hovyo.
Nadhani viongozi wa magwanda wameliona hilo na sasa wamebadilika, nilipowaona wanakwenda Ikulu na kunywa juisi kwa kashata nikajuwa, sasa hawa ndio wanaanza siasa, wakiendelea hivyo, baada ya miaka 20, wajukuu wa waasisi wa hiyo kampuni wanaweza kuongea mengine.
Dr. Bana, kwa hilo namuona ana muono wa upeo mkubwa sana.

Hangover ya kukulia katika mfumo wa chama kimoja. Unfortunately, it is too late for him to change. Kwamba hataki mabadiliko haimanishi kwamba hayatatokea.