lifetimesolutions
Member
- Apr 24, 2017
- 67
- 47
ZANPF
Samahani mkuu ,nakushauri pakuwa mavi kwenye kichwa chako then ndiyo uongee. Sema hivi tuweke tume huru na tutenge polisi na ccm ndiyo uje ongee upoyoyo wako.kwa sasa labda kizaliwe chama kipya na kisiwe na hata kiongozi wala mwana siasa mmoja wa chama chochote cha zamani kwenye kamati kuu hiyo,hapo kidogo
hita kuwa yapo akilini mwako hayo mavi maana ndiyo umeweza kuyakumbukaSamahani mkuu ,nakushauri pakuwa mavi kwenye kichwa chako then ndiyo uongee. Sema hivi tuweke tume huru na tutenge polisi na ccm ndiyo uje ongee upoyoyo wako.
Acheni kuwa mnasema mnapendwa sasa ,kumbe mnajua mlipojifichiahita kuwa yapo akilini mwako hayo mavi maana ndiyo umeweza kuyakumbuka
jamaa hoja hana anakalia matusi.ndo tunapo shindwa kukosoana.Acheni kuwa mnasema mnapendwa sasa ,kumbe mnajua mlipojifichia

Asante.....hakika hakuna upinzaniHakuna upinzani Tanzania. Kuna Chama Kimoja tu. Ambacho ni CCM.
PPT Maendeleo" ingependeza"Tanzania tuna vyama vyama siasa vya upinzani takribani 30.
Lakini hadi sasa bado hatujapata chama mbadala ambacho kitambana na CCM na hivi vingine vimuunge mkono chama kimoja.
Ikumbukwe ya kwamba mwaka 1995 NCCR ilitingisha kupitia Mrema walipambana wakashidwa.
2000 na 2005 CUF kupitia Lipumba walipambana lakini wakashidwa
2010 na 2015 CHADEMA kupitia Lowassa walipambana mara mbili wakashidwa.
2020 inakaribia hadi sasa sijui mawazo ya upinzani wamejipanga vipi kushinda.
Lakini pia kama vyama vyote vimeshidwa ni chama gani mbadala wa CCM ikizingatiwa vyama vyote vimeshindwa.
Inawezekana wewe ni mzawa kutoka Dodoma Singida, au Ruvuma. Ujinga na umasikini umetamalaki.Lakini pia kama vyama vyote vimeshidwa ni chama gani mbadala wa CCM ikizingatiwa vyama vyote vimeshindwa.
Tukiangalia comment yako na ya huyo uliemjibu tunalazimika kuafikiana na huyo uliemjibu kwamba kwa kuangalia uwiano wa vichwa vibovu na vizuri upande huo hoja yake ni ya msingi.Samahani mkuu ,nakushauri pakuwa mavi kwenye kichwa chako then ndiyo uongee. Sema hivi tuweke tume huru na tutenge polisi na ccm ndiyo uje ongee upoyoyo wako.