Chama gani mbadala kwa CCM?

Chama gani mbadala kwa CCM?

Mi simshangai Bana maana anatumikia mfumo uliompa ulaji. Hana jipya
 
Nasikitika kuwa tunawatu wenye fikira finyu kama Professor. Ametumia kiegezo gani kufikia maamuzi yake?. Wapinzani hawaja jaribiwa laiti kama wapinzani walipata nafasi wakafanya ufisadi kama au zaidi ya CCM, hapo professor angelikuwa na haki ya kusema venginevo ni mlaji tu kama wenziwe wa CCM. Pole professor darasa ulilokwenda hukufahamu kitu labda degree ya kununua bombay. hahhahahahah.
 
Fisi akipita mchana ktkt ya watu huwa tunampigia mayowe! Ben Bana ni sawa na fisi tumpigie mayowe! Hilooo hiloo hilooo hiloooooooo! Nawahurumia sana waliopigiwa kipindi na hilo zezeta! Kumbe hata uwe na PhD utabaki kuwa mvivu tu wa kufikiri? Shame on us Tzns!
 
Hangover ya kukulia katika mfumo wa chama kimoja. Unfortunately, it is too late for him to change. Kwamba hataki mabadiliko haimanishi kwamba hayatatokea.

Dr, ningependa kuongea na Dr Bana, ikiwezekana NI-PM namba yake. Ni kwa nia njema lakini!
 
bana kasema kweli chadema bado sana kupewa nchi[/QU Bana ni mwana CCM Pamoja na wewe,unategemea chongo kuona horizon? Wapo wasomi wachache km Dr Kitila Mkumbo,wanaochambua hoja,huyo Bana ndo ukomo wake,hawezipata u-Prof,tafiti zake ht za karibuni tu hapa ni chongo tupu! Mabadiliko ni lazima,there's no altenaltive,watakaombadili CCM nao wakiharibu watabadilishwa,this is nt a dynest,na wewe unaonekana ni kijana tu,lkn unasikitisha,hopful mtaelewa,mazoea yanawafanya mjisahau,kuwajibika is paramount to our well being!

hakuna utafiti wowowte anaofanya zaidi ya kuwa-brainwashed by his masters
 
Akiongea katika tuongee asubuhi kupitia Star Tv,yule msomi wetu wa Redet Dr Bana amesema yeye mpaka sasa ajaona chama mbadala cha kuongoza nchi zaidi ya CCM,nadhani hizi ni dalili mbaya kwa wasomi wetu.Badala ya kuwasaidia watanzania kujua haki zao za msingi yeye anasema hakuna wa kuiongoza hii nchi..
Nimekuwa nikisema na nitaendelea kusema kuna tatizo Tanzania na linaanzia kwenye kada ya wasomi.. hasa wa miaka ya zamani, tazama mikataba yetu ya uwekezaji kwenye sekta ya madini.. halafu mwingine msomi anaibuka na kusema hakuna mbadala wa ccm karidhika na utendaji wake.. nina mashaka sana na Dr Benson na mwenzake Prof Mukandara
 
Akiongea katika tuongee asubuhi kupitia Star Tv,yule msomi wetu wa Redet Dr Bana amesema yeye mpaka sasa ajaona chama mbadala cha kuongoza nchi zaidi ya CCM,nadhani hizi ni dalili mbaya kwa wasomi wetu.Badala ya kuwasaidia watanzania kujua haki zao za msingi yeye anasema hakuna wa kuiongoza hii nchi..

mtu anaye support sisiem hii ya kiwete either baba yake ni mkuu wa wilaya, mkoa, mbunge wa kuteuliwa au ni changu wa viongozi hawa, kwa hali isiyo ya kawaida watanzania wanaanza kuona mwanga wa kujikomboa kutoka kwa ngenge la wezi wa nchi hii. sisiem hii ni kinyaa kuikumbatia na kama kuna mtu amesimama kwa dhati kusemea uovu wa sisiem basi sababu nilizozitoa hapo juu zinamfit.....na hongora kwa hilo.
Acha sisiem walete udini, ukabila au ukanda.But people tired with cheap and shenanigan politics. sisiem will done sometime soon....wananchi wamewashika pabaya.
hata mkoloni alisema watanganyika hawajawa tayari kujitwala , nyerere naye akaja na idea hiyohiyo kuwa tanganyika haijawa tayari kuwa na vyama vingi. miaka hamsini mtu mwingine anasema hatuko tayari kutoka mikononi mwa mwa sisiem. mfano,kama south sudan wanaweza kuendesha nchi iwe siye? hoja ya msingi ni kwamba serikali si lazima uindwe na chama. huyu "dr"amesahau nguvu ya watu inaweza kuendesha nchi pia au unahofia udaktari wake atakosa pa kuupeleka? "let my people be free"
 
anajipendekeza huyo, Pro Mkandala alijipendekeza akapa au VC, aliyemwachia kiti REDET alijipendekeza yupo ikulu kama mshauri wa Rais Siasa naye yeye anasubiri apewe kitengo
 
Dr Bana, ametumwa na akakubali kutumika.
Tatizo ni njaa.
 
KWA HAKI KABISA NAOMBA NIMCHAMBUE DR. BANA UWEZO NA KIWANGO CHA USOMI WAKE KAMA KWA KUANGALIA KAZI ZA UTAFITI ANAZOFANYA HALAFU WADAU MTA'JUDGE WENYEWE KAMA KWELI INTEGRITY YA BANA INACHO KIWANGO CHA KUHESHIMIKA KATIKA JAMII:
Mwezi march 2010 na Octoba 2010 taasisi mbili zilifanya UTAFITI juu ya chama gani ambacho kingeshinda uchaguzi; ya kwanza ni REDET inayoongozwa na Dr. Bana kwa mgongo wa Chuo chetu kikuu cha Dar es Salaam na ya pili ni SYNOVATE taasisi huru ya kitaaluma inayoheshimika duniani.

Kabla sijakumbushia matokeo yalikuwaje, niwakumbushie kanuni za utafiti ambapo kama Sampling methodology itafanyika randomly na Data Collection methodology itafanyika kutoka kwa walengwa sahihi wanaokudiwa matokeo ya utafiti HULETA MATOKEO SAHIHI KWA ASILIMIA ZAIDI YA 95%, Hapa haijalishi ni nani anayefanya utafiti:

Matokeo ya utafiti ya CCM kushinda yalikuwa kama ifuatavyo:
[TABLE="width: 477"]
[TR]
[TD]TAREHE
[/TD]
[TD]REDET
[/TD]
[TD]SYNOVATE
[/TD]
[TD]MATOKEO HALISI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]march 2010
[/TD]
[TD]77.3
[/TD]
[TD]67
[/TD]
[TD]-
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]October 2010
[/TD]
[TD]71.2
[/TD]
[TD]61
[/TD]
[TD]61
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa msomi kama Bana hakupaswa kuitia aibu taasisi ya chuo kikuu kwa kuja na matokeo yanayoonyesha udhaifu mkubwa wa kitaaluma kwa zaidi ya 25% wakati wenzao wa SYNOVATE walikuwa karibu na ukweli kwa zaidi ya 99%, Kwa mfano huu mmoja tu achilia mbali kauli zake zinazojikanganya mara nyingine akisema umaarufu wa CCM unaporomoka na upinzani unapanda wakati huo huo haoni mbadala....inasikitisha.....hii inamaanisha mambo makubwa mawili aidha UWEZO WA KITAALUMA WA DR. BANA na taasisi yake ni mdogo ama Dr. Bana ni msomi aliyeamua kuweka rehani taaluma na kukumbatia itikadi na ukada wa CCM kama la pili ni sahihi basi ni vema akatoka katika nafasi yake ya kitaaluma na akapande jukwaani.
 
Mimi nadhani hapa watu wamejikita kwenye hoja ya Chama tawala kitoke na mbadala uwe chadema Mimi sina tatizo na Hilo ,

Ila swali hapa ni unadhani wakiingia chadema hulka za watu wote mioyoni zitachange? Definitely NO..

Wezi watabaki kuwa wezi, Rushwa itaendelea kuwepo na pengine hujuma itaendelea kuwepo haswa kwa wale ambao ni wafuasi wa vyama vingine watahijumu nchi kwa makusudi.

Sasa hoja nadhani iwe Mfumo upi tunautaka uongoze nchi yetu na si Chama kipi km kweli tunaitakia nchi yetu mema lakini sio tumekua wajinga wa kushabikia tusichonufaika nacho

Kwani namimi Nina akili timamu I can be anybody ila tu sio sote tunaweza kua politicians lakini ningependa kuongozwa na Mfumo badala ya Mtu au Chama mfano, we all knows how to drive but what if there is no traffic light ? It is damn chaos.

Kwahiyo badala ya kuwatafutia wengine ulaji ni vyema tukawa Realistic hapa,
Kwani kila Mtu anakimbilia siasa kwakua kuna upuuzi whether it be CCM or CDM or CUF wao lengo Lao ni kupata uhalali wa kutawala na kuongoza kwa kupata viti na majimbo na popularity that's it!

Kwanini nasisitiza Mfumo hapa?

Mfumo ndio uwe hukumu ya watawala na watu tuanaowapa dhamana ya kutuongoza na Mfumo ukiwa mzuri sidhani Kama kuna atakae kimbilia siasa, ila Mfumo uliopo sasa ni collapsed hauwawajibishi Chama chochote I'm afraid to we are going to face the same shit were facing now if we can't figure out what best we want ? How to get it ! If we choose to show to each other who is who when it comes to criticism? We are no providing the permanent solutions to our problems instead we partially address them ... Tena Mbaya Zaidi humu ndani.

Mfano..
USA kuna Taxi, huwezi kujua taxi driver anapata kiasi gani kwa siku Kama ukiwa umemwambia kwa siku lete 80 pengine haipati au anapata Zaidi sasa ili kuondoa Mfumo HOLELA wenzetu wameweka Mfumo ambao Mteja anapata haki yake,driver anapata haki yake na pia mmiliki anapata haki yake., Kwani unapoingia kuna count machine yakukujulisha wewe km Mteja mwisho wa siku utalipa kiasi gani na pia mmiliki nae system inamjulisha kua taxi no Fulani inamteja na amelipwa kiasi gani kwa ni mwisho wa siku ni printout ndio inamfanya driver awasilishe alichopata ndio maana driver wanategemea Mshahara na tips toka kwa wateja tu kwahiyo Mfumo umewadhibiti .

Kwahiyo nadhani huu ni mfano..
Kama kungekua na Mfumo ambao ni mzuri iwe CDM , CCM au TLP au CUF wote Hawa Siasa isingekua kimbilio na kila Mtu angeogopa kua mwanasiasa badala ya Sasa kila Chama kinavutia kwake na sisi Bahati Mbaya tumekua wajinga sna.

Mfumo ndio hoja inayotakiwa kwa sasa badala ya kuwa wajinga wa itikadi na kila Mtu kuona kua kikiingia Chama Fulani kila kitu kitakua pepo... Ni ujinga
 
Kwahiyo badala ya kuwatafutia *wengine ulaji ni vyema tukawa Realistic hapa,

Mfumo ndio uwe hukumu ya watawala na watu tuanaowapa dhamana ya kutuongoza na Mfumo ukiwa mzuri sidhani Kama kuna *atakae kimbilia siasa, ila Mfumo uliopo sasa ni collapsed hauwawajibishi Chama chochote I'm afraid to we are going to face the same shit were facing now if we can't figure out what best we want ? How to get it ! If we choose to show to each other who is who when it comes to criticism? We are no providing the permanent solutions to our problems instead we partially address them ... Tena Mbaya Zaidi humu ndani.

PHP:

Benson Bana na
Paramagamba Aidan Kabudi ni moja ya misiba iliyopo katika chuo kikuu cha dsm shule(college) za sheria na siasa
Mnisamehe tu nisiwatambue kama prof na dr
Hawastahili kihalisia waganga njaa wakubwa ktk nchi hii (wanadhiki kubwa)
 
Back
Top Bottom