Hapa suala sio chama,suala ni nani mwenye uwezo wa kututoa kwenye tope tulilozama?. Tunaweza tukawa na vyama 100,ishu vinaongozwaje?,nani aliyetayari leo hii kusema pasi na shaka kuwa chama fulani kiko sahihi kuliongoza taifa letu?,nadhani ufike wakati tujadili MASUALA badala ya watu au vyama. Tukimpata mtu ambaye atatueleza matatizo ya taifa hili,akatueleza jinsi ya kuyatatua,basi yafaa kumfikiria katka uongoz wa taifa hili komavu(sio changa).
heri ya mwaka mpya mkuu
Wewe mwenyewe umeikumbatia ccm, unamwabia nani aitoe
Wewe mwenyewe umeikumbatia ccm, unamwabia nani aitoe
Kwa huu upuu.z wa ubaguz wa kikanda,uhuni na wizi wa wake za watu uliopo ndani ya chama kikuu cha upinzani,2015 jibu litapatikana.
Ndomana nilitaka JF tuanzishe Chama cha siasa
Baada ya sakata la zitto ndiyo tutajua hasa baada ya miaka mitano ijayo kwa sasa sijaona chama vyote ni vyama vya watu mfano cuf cha maali sefu,cdm cha mtei na mbowe,kipo kile cha mlema ,kile cha cheyo na vingine vingi vya watu.
kwa sasa labda kizaliwe chama kipya na kisiwe na hata kiongozi wala mwana siasa mmoja wa chama chochote cha zamani kwenye kamati kuu hiyo,hapo kidogoTanzania tuna vyama vyaa siasa vya upinzani takribani 30.
Lakini hadi sasa Badoo hatujapata
Chama mbadala ambacho kitambana na ccm na hivi vingine vimuunge mkono chama kimoja
Ikumbukwe ya kwambaa mwaka
1995 NCCR IlITINGISHA
KUPITIA MREMA WALIPAMBANA WAKASHIDWA
2000 NA 2005 CUF KUPITIA LIPUMBA WALIPAMBANA LAKINI
WAKASHIDWA
2010 NA 2015 CHADEMA KUPITIA LOWASSA WALIPAMBANA MARA
MBILI WAKASHIDWAA.
2020 INAKARIBIA HADI SASA SIJUI
MAWAZO YA UPINZANI WAMEJIPANGA VIPI KUSHINDA
LAKINI PIA KAMA VYAMA VYOTEVIMESHIDWA NI CHAMA GANI MMBADALA WA CCM IKIZINGATIWA VYAMA VYOTE
VIMESHIDWAAA
Sasa kwanini washiriki uchaguziKupitia sanduku la kura kwa katiba hii huwezi kuitoa hiyo kitu milele!