Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,511
- 45,339
Wamechoka ila wanamchangia rais hela ya kununua form ya urais as if yeye rais hiyo hela hanaš¤£š¤£Uchaguzi wa Chama cha Walimu huwa ni Aibu tupu, hebu wajifunze kutoka TLS. HONGERA TLS
Hongera Mwabukusi