Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,335
- 1,723
CCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.
Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya kuzuia uchaguzi hiyo siku ya uchaguzi.
Ikitokea vyombo vya ulinzi na usalama vimesambazwa kuzuia maandamano,maana yake vitakuwa vimesaidia lengo la Chadema kutimia kwani wananchi wataogopa kutoka kwenda kupiga kura.