Chama cha Mapinduzi: Taarifa kwa Vyombo vya Habari

kwa mimi nafikiri muda ulobaki kwa Nape ni kumuomba radhi bwana Lowassa na kuahidi kuwa raia wema katika utawala wake
 
Ndugu wananchama wa Chama cha Mapinduzi-CCM ni wiki mbili tangu tulipo maliza mchakato ndani ya chama kumpata mgombea wa Urais hapo Octoba 25, 2015. Kwa mara ya kwanza wananchama 41 waliomba kuteuliwa na chama. Hii inaonyesha kwamba demokrasia imekuwa ndani ya chama. Kati ya wanachama wa CCM waliochukua fomu alikuwa ni mheshimiwa waziri mkuu mstaafu Ndugu Edward Lowasa. Utaratibu wa chama ulifuatwa ili kumpata mgombea ikiwa ni pamoja kamati ya maadili, kamati kuu na halmashauri kuu ya taifa na mkutano mkuu. Katika mchakato pia chama kilitumia idara mbalimbali kama usalama wa taifa, takukuru na tume ya maadili ya umma kupata taarifa mbalimbali kuhusu wagombea hasa za uadirifu, usalama wan nchi na kadhalika. Baada ya mchakato kumalizika baadhi ya wagombea na wanachama hawakuridhika na matokea, katika chama kikubwa kama CCM haizekani wanachama wote wakaridhika na maamzi. Ndugu wanachama na watanzania tunaomba kuelewa kuwa kumpata kiongozi mkubwa wa nchi kama Rais siyo kazi rahisi. Baadhi ya wanachama ambao hawakuridhika na maamzi ya chama ni Ndugu Edward Lowasa, amekuwa akizungumza nje ya chama kuhusu kutotendewa haki na baade kuhama chama na kujiunga na chamacha demokrasia na maendeleo-CHADEMA. Kwa nini Ndugu Lowasa hakuteuliwa kuwa mgombea wa CCM? Ndugu wanachama na watanzania, Mheshimiwa Lowasa alijenga hisia na kuamini kuwa ndani ya CCM wagombea wote walistahili kuenguliwa isipokuwa yeye. Hii siyo demokrasia, baada ya kupitia repoti mbalimbali Ndugu LOWASA alienguliwa kwa sababu zifuatazo:- 1. Kukiuka taratibu za chama kwaani alionekana kufanya kampeni badala ya kutafuta wadhamini 2. Kutoa rushwa kwa wanachama mbalimbali hivyo kukigawa chama na kama angepishwa kuwa mgombea CCM ilikuwa katika hatari ya kuwekewa pingamizi mahakamani lakini pia angeweka watu wake kwenye utawala kuwalipa fadhira. 3. Edward Lowasa aliwahonga wajumbe katika uchaguzi wa wajumbe NEC uliofanyika miaka iliyopita ili kupata watu wake ndani ya NEC. 4. Kuanza kampeni kabla ya wakati, alikuwa akisafirisha watu mbalimbali na kuwalipa fedha nyingi kisha kutoa taarifa kuwa walikuwa wakimtaka kugombea Urais, hii ni hadaa na hatari kwa chama. 5. Kuwa na kashfa nyingi za ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi ya umma akiwa waziri 6. Kusemwa semwa kuhusika kuhusika na tuhuma za kutumia watu kudhuru baadhi ya watanzania na viongozi, hili lipo kwenye vyombo vya dola kwa uchunguzi, uchunguzi ukikamilika sheria itachukua mkondo wake. 7. Utajiri na mali usiokuwa na maelezo alizipataje kama vile kumiliki majumba nje ya nchi kama uingereza, singapole na nk Mwisho chama kimesikitishwa sana na kauli kuwa amekuwa akionewa na kusingiziwa kuwa alihusika na kashfa ya RICHMOND, ndugu wanachama kashfa ya RICHMOND ilianzia bungeni, CCM haikuhusika na kumwondoa kwenye uwaziri mkuu, lakini kwa kuwa imekuwa inajengeka kuwa alionewa tunaviomba vyombo vya sheria kulipeleka jambo hili mahakamani ili kuondoa dhana inayojengeka kuwa serikalia ya CCM inaonea wanachama wake. Doa linalotakwa kujengeka litapatiwa ufumbuzi na iwapo inathibitika kulikuwa na njama binafsi wote waliohusika kulidanganya bunge watachukuliwa hatua na chama lakini pia sheria itachukua mkondo wake Imetolewa na :- Nape M.Nnauye KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA ITIKADI NA UENEZI
WEZI WA PESA ZA ESROW WAFIKISHWE MAHAKAMANI ...haya mambo mmeyaacha kwa kulindana weee,sasa mnakurupuka..mpelekeni MAHAKAMANI muone..kama alifisadi hakua peke yake(MFUMO),safari hii Mfu(balali) ataletwa TZ
 
Hii kweli ni ya NAPPE. Maana hata uandishi wake unataka utulie sana kusoma
 
CCM mna tatizo gani, afadhali kukaa kimya. Mnadhihirisha jinsi gani mlivyojaa utoto. Hivi mna wangapi wa kupeleka mahakamani? Za Manji Dom, si mmekausha mkabadili kipengele jamaa alienda kununua nafaka (sijui ana kiwanda cha bia). Kaeni kimya bhana, jifanyeni hamuoni akifanyacho Lowassa kwa sasa. Unajua inasemaje The Law of Attraction? Kila ukitaja jina lake, Universe inatimiza. Hayaaa mi ngoja nile gahawa hapa Ilala Amana kwa waosha magari, kuna wenye Napeism wengi, naona jinsi gani kukimbia umande kunavyowatesa vijana wa Tz.
 
kwani mkulu sikamaliza nafasi ya ukuu Wa wilaya au bado naona nepi anatafuta nafasi za mwisho mwisho yaani ccm amna watu Wa busara huyu MTU ndio anawamaliza ccm mpelekeni mahakamani sasa lowasa kama mnaushaidi
 
Iko dhahiri kabisa,,,,, team el wote ni wapigaji, hakuna mwenye kuiwazia mema nchi hii aliye katika team el,

Wachapakazi waadilifu wamefungamana na Magufuli.

Ni bira mara ishirini kumtumainia zito kuliko el .
 
Hapa kutamu sana Sandarusi za Escrow za mtoto wa Rais, Utajiri wa Ridhiwan, Nyumba na Mahotel ya Magufuli,Ujangili wa Kinana etc... twende mahalani
 
Kama mahakamani tunataka na yule mmiliki wa Kagoda kwwnye kashfa ya EPA, meremeta, deep green finance, rada, kiuzwa nyumba za serikali, kujimilikisha mgodi wa Kiwira, ESCROW just to ne the few, Ila siyo siri mnaonyesha hapoLumumba mmepanic kama jamaa zenu wa humu jf
 
Back
Top Bottom