Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 523
- 495
Msukuma, Habari za mchana! Hii hapa TAARIFA YA KWANZA YA CHAMA baada ya 29 October na ilikuwa tarehe 5. Mwenyekiti alikutana na wajumbe wako kwenye kikao cha kamati kuu maalum. Na mengine mengi baada ya hapo yalifanyika kutokea kwenye maelekezo ya hiki kikao.
Shida ni moja na makundi yenu ya urais 2030, mnatafuta KUKUBALIKA sasa mnajikuta mnaongea tu ili kupata hiyo nafasi.
Na Pili mnataka Sekretarieti ibadilike kwasababu mnamuona Dkt. ASHAROSE haingiliki kwa siasa chafu hivyo mnasukuma pressure mpaka sasa mnajikwaa kuongea vitu vya vijiweni kwenye media.
Katibu Mkuu alifanya ziara ya shina kwa shina na Mwenezi alikuwa anazunguka nchi nzima na na wengine na ndio walikuwa wanajibishana na hao kina Heche.