Chama cha Mapinduzi: Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Chama cha Mapinduzi: Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Sasa ndiyo mmeandika nini nyie wazee wa Lumumba...Tatizo mnaishi kwa theories...come down to earth,plz. mmevurugwa hahahahahaaa....
 
Mkuu mbona hata hueleweki? Maana unachokielezea hukitaji ambao hatujui hayo yaliyoandikwa mbona umetuacha solemba au kwenye mataa? Fafanua nini kimeandikwa kwa malendo gani.

Sasa kama hii ni taarifa rasmi kutoka Ofisi kubwa kama ya kwako naanza kupata wasiwasi na wadau mnatusaidia katika kutekeleza mambo mbalimbali ndani ya chama chetu Kikongwe chenye Historia ya aina yake katika Ukombozi wa barani Afrika!
 
mtakula mafi yenu safari hii.

Ikulu hawaingii watu wenye matusi kama nyie. Wapiga kura wastaarabu hawapendi viongozi vigeu geu. jana huu bwana fisadi leo huyu bwana mtu safi. Maana yake na nyie si safi ila mnatafuta ulaji. Au siyo Bwana Mtei?
 
Katibu mwenezi wa mkoa wa ccm alipata wapi ruhusa ya kuja kuwa msemaji kwenye presse conference ya leo?
 
Anayechanganyikiwa anashika hiki anatupa anashika kingine anatupa...... yaani CCM mmechanganyikiwa hata hamjui mnachokifanya!

Leo press conference topic iliyoongelewa ni u.pupu, hata masaa 6 bado wamekuja na press realise u.pupu!

Ndio sawa mmepata pigo, tulie mwongee jambo moja mkaeleweka.
 
Maskini chama chawala nacho sasa kinalalamika....upweke umeshaanza kukinyemelea
 
Mtajuana wenyewe,sisi tunawasubiri oktoba 25 tuwafanyie kitu mbaya dadeki.
 
Kati ya KITENGO cha mawasiliani na kamati ya MAADILI tumwamini nani sasa?
 
madaraka matamu cheki wanavyohaha na taarifa ya uzushi afu uzushi haupo ndani ya taarifa sasa
 
Back
Top Bottom