Chama cha mabaharia chaja juu

masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,628
Points
2,000
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,628 2,000
Chama cha mabaharia wa ukweli, kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo.

Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya watu,hasa vijana kujiita mabaharia.Ubaharia huo umeonekana kutapakaa sana mitandaoni.

Chama hicho kimesema kitendo cha watu kujiita mabaharia,hakileti taswira nzuri.

Mabaharia wa kweli kutoa tamko: Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.

Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia

View attachment 1204537
Mabaharia Originale hawana haja ya kupanic.
Hao mabaharia wa mitandaoni hata kupiga mbizi bafuni hawawezi.

Miaka yetu vijana chakaramu na watanashati wakijiita "Mabitozi" yaani Beatles!

Leo wamepotea wasionekane asilani!
Ni mpito tu.
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
5,932
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
5,932 1,995
umeona eeeeh baharia mwenzangu.
Na wasikitikia endapo watatishia mabaharia wa nchi kavu kama sisi sijui wataishia kunyamaza maana hata kitaa wananita hivyo na ndio jina linanipa mlo wangu wa siku na kupata watoto wakale
 
Kibumbula

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Messages
3,209
Points
2,000
Kibumbula

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2018
3,209 2,000

Mbalamwezi1

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Messages
2,052
Points
2,000
Mbalamwezi1

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2013
2,052 2,000
Chama cha mabaharia wa ukweli, kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo.

Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya watu,hasa vijana kujiita mabaharia.Ubaharia huo umeonekana kutapakaa sana mitandaoni.

Chama hicho kimesema kitendo cha watu kujiita mabaharia,hakileti taswira nzuri.

Mabaharia wa kweli kutoa tamko: Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.

Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia

View attachment 1204537
Jamaa kakurupuka, anachosikitishwa na kukemea ni nini hasa!!? Yeye ni baharia wa majini na hawa wengine ni mabaharia wa nchi kavu! Hii ni sawa na watu kujiita marais ina maana Mzee Magu nae awamind lkn hawamind coz hawajiiti marais wa TZ bali kuna rais wa TFF,Manzese, Buza nk. Pia si kuna watu wanajiita makamanda, basi IGP Siro nae angemaind watu kujiita makamanda, lkn hamaind kwasababu hawajiiti makamanda wa Polisi. Hivyo Baharia wa majini atulie atuache mabaharia wa nchi kavu tufanye yetu.
 
L

lukubuzo Samsis

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2014
Messages
1,678
Points
2,000
L

lukubuzo Samsis

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2014
1,678 2,000
Wao mabaharia wa baharini.SISI mabaharia wa NCHI KAVU.

Mbona kuna marais wengi magu hajalalama.

Mbona kuna ma dr wenhi km manyaunyau,kifimbo lakin ma dr wa afya hawajalalama.

Anateseka nini na mabaharia kujiita mabaharia?
Chama cha mabaharia wa ukweli, kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo.

Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya watu,hasa vijana kujiita mabaharia.Ubaharia huo umeonekana kutapakaa sana mitandaoni.

Chama hicho kimesema kitendo cha watu kujiita mabaharia,hakileti taswira nzuri.

Mabaharia wa kweli kutoa tamko: Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.

Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia

View attachment 1204537
 
chief command

chief command

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2019
Messages
213
Points
250
chief command

chief command

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2019
213 250
Tuanzishe chama chetu. Mabaharia wa inchi kavu
 
Kibumbula

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Messages
3,209
Points
2,000
Kibumbula

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2018
3,209 2,000
Jamaa kakurupuka, anachosikitishwa na kukemea ni nini hasa!!? Yeye ni baharia wa majini na hawa wengine ni mabaharia wa nchi kavu! Hii ni sawa na watu kujiita marais ina maana Mzee Magu nae awamind lkn hawamind coz hawajiiti marais wa TZ bali kuna rais wa TFF,Manzese, Buza nk. Pia si kuna watu wanajiita makamanda, basi IGP Siro nae angemaind watu kujiita makamanda, lkn hamaind kwasababu hawajiiti makamanda wa Polisi. Hivyo Baharia wa majini atulie atuache mabaharia wa nchi kavu tufanye yetu.
 
Kibumbula

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Messages
3,209
Points
2,000
Kibumbula

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2018
3,209 2,000
Wao mabaharia wa baharini.SISI mabaharia wa NCHI KAVU.

Mbona kuna marais wengi magu hajalalama.

Mbona kuna ma dr wenhi km manyaunyau,kifimbo lakin ma dr wa afya hawajalalama.

Anateseka nini na mabaharia kujiita mabaharia?
 
waOLDmoshi

waOLDmoshi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Messages
619
Points
1,000
waOLDmoshi

waOLDmoshi

JF-Expert Member
Joined May 20, 2018
619 1,000
Wao mabaharia wa baharini.SISI mabaharia wa NCHI KAVU.

Mbona kuna marais wengi magu hajalalama.

Mbona kuna ma dr wenhi km manyaunyau,kifimbo lakin ma dr wa afya hawajalalama.

Anateseka nini na mabaharia kujiita mabaharia?
Ki ukweli maelezo yako yame make sense somehow.
 
J

JAY MTAALAM

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Messages
1,243
Points
2,000
J

JAY MTAALAM

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2014
1,243 2,000
Bahari ni nini?
Baharia ni nani?
Baharia kama "slang" maana yake nini?
Je inasaidia chochote au kelele tu?
Note: Mi sijihusishi na matumizi ya neno Baharia kama vijana wengine.
 
bwege nazi

bwege nazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Messages
216
Points
250
bwege nazi

bwege nazi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2018
216 250
Jamaa kakurupuka, anachosikitishwa na kukemea ni nini hasa!!? Yeye ni baharia wa majini na hawa wengine ni mabaharia wa nchi kavu! Hii ni sawa na watu kujiita marais ina maana Mzee Magu nae awamind lkn hawamind coz hawajiiti marais wa TZ bali kuna rais wa TFF,Manzese, Buza nk. Pia si kuna watu wanajiita makamanda, basi IGP Siro nae angemaind watu kujiita makamanda, lkn hamaind kwasababu hawajiiti makamanda wa Polisi. Hivyo Baharia wa majini atulie atuache mabaharia wa nchi kavu tufanye yetu.
Haaaaaaaaaaa haaaa
 
bwege nazi

bwege nazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Messages
216
Points
250
bwege nazi

bwege nazi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2018
216 250
Bahari ni nini?
Baharia ni nani?
Baharia kama "slang" maana yake nini?
Je inasaidia chochote au kelele tu?
Note: Mi sijihusishi na matumizi ya neno Baharia kama vijana wengine.
Pita pembeni tuache mabaharia Wa nchi kavu
 
Statesmann

Statesmann

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2019
Messages
1,080
Points
2,000
Statesmann

Statesmann

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2019
1,080 2,000
Mabaharia wa ukweli ndio sisi wao kwanza walikuwa hawafahamiki

Hatuyumbishwi na hao mabaharia wasiojulikana sisi tumeshapitisha toleo la pili la sheria na kanuni za Mabaharia
 
C

Carica_papaya

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Messages
370
Points
500
C

Carica_papaya

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2018
370 500
Chama cha mabaharia wa ukweli, kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo.

Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya watu,hasa vijana kujiita mabaharia.Ubaharia huo umeonekana kutapakaa sana mitandaoni.

Chama hicho kimesema kitendo cha watu kujiita mabaharia,hakileti taswira nzuri.

Mabaharia wa kweli kutoa tamko: Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.

Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia

View attachment 1204537
MWAMBIE BAHARIA WA UKWELI ASIKURUPUKE!!! hizi Zinaitwa LUGHA ZA MSIMU

Msimu ni maneno yasiyo sanifu yanayoanzishwa na kikundi cha watu wachache wenye utamaduni mmoja ili kueleza mahusiano yao kama kikundi. Kwa kawaida maneno hayo huzuka na kupotea, ila yale yanayodumu husanifiwa na kuwa msamiati rasmi wa lugha.

Chanzo

Mabadiliko ya kihistoria yanaoikumba jamii katika shughuli mbalimbali na miongoni mwa utu wa watu mbalimbali.
Kwanza ni matukio mbalimbali yanayojitokeza katika jamii; matukio hayo yanaweza kuwa vita, njaa, ukame na kadhalika. Misimu hiyo yaweza kuwa ni ya kubeza, kusifu na kukejeli.
Ya pili ni uwepo wa matabaka, uwepo wa tofauti za kimaisha katika jamii fulani: kwa mfano, walalahoi ni maskini na magambacholi ni wenye nazo.
Ya tatu ni utani, utamaduni wa kutaniana. Jambo lingine linalosababisha kuzuka kwa misimu, msimu huu hubeba kejeli na dhihaka.
Ya nne ni maendeleo ya sayansi na teknolojia: hayo pia huwa chanzo cha misimu; vitu vipya vinavyojitokeza katika jamii vinadai uwepo wa maneno yanayozuka, kwa mfano, bajaji na digitali.

Sifa

  • 1) Huzuka na kutoweka kufuatana na mabadiliko ya jamii
  • 2) Ni lugha isiyosanifiwa
  • 3) Ni lugha ya mafumbo
  • 4) Hupendwa na watu wengi kwa sababu hufurahisha
  • 5) Ni lugha inayofahamika na watu wachache
  • 6) Huwa na chumvi nyingi.

Aina za misimu

Katika misimu kuna aina tatu ambazo ni:
  • 1) Misimu ya pekee: misimu hii huelezea uhusiano wa kikundi kidogo kwenye utamaduni mmoja ambayo huweza kuwa shule moja, mtaa mmoja, ofisi moja na kadhalika.
  • 2) Misimu ya kitarafa: misimu hii huchukua eneo pana kidogo, kwa mfano kata, wilaya na hata mkoa.
  • 3) Misimu zagao: misimu hii huenea karibu nchi nzima; wakati mwingine huvuka nchi
 
totolito

totolito

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2016
Messages
646
Points
500
totolito

totolito

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2016
646 500
Akili ya mtanzania usichokipenda akigundua ukipendi ndio anazidisha kama ulivyosema nibora wangepuuza isingemaliza mwezi ingeishia ila now wahesabu miezi 6 tupo na mabaharia kibao mtaani
Hahahaha logic mkuu hawa jamaa naona wanaingia kwenye mtego sijui kama watafanikiwa zaidi ndio watalipandisha jina juu
 
Forum statistics

Threads 1,336,611
Members 512,670
Posts 32,545,130
Top