Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,043
- 1,012
Nimependa uchambuzi wako muruwa umetoa angalizo kwa Chadema ni hiyari yao kufuata au kuacha.
Vipi umemaliza mkologo ulio uleta kule facebook kuhusu ndugu yetu kibanda au ndio vamiavamia?
Nimependa uchambuzi wako muruwa umetoa angalizo kwa Chadema ni hiyari yao kufuata au kuacha.
Mkuu ZeMarcopolo naona umetiririka. ......
Uchambuzi huu wa Marcopolo unatakiwa ujibiwe kwa hoja si vioja. Hizi ni chambuzi fikirizi.
Chunguza sana kuna hawa Chadema kaskazini hawa ndiyo wanajiona Chadema kindakindaki.
CHADEMA kupewa msaada toka ujerumani na KINANA kujipatia msaada hapa hapa Tanzania kwa kuendesha kampeni chafu za KUUA TEMBO na kuuza meno ya tembo ipi ni afadhali?
Kinana kutumia fedha za CCM kwenda China kwa ajili ya KUREKEBISHA biashara yake ya MENO YA TEMBO na kuweka kizazi cha tembo Tanzania katika hatari ya kutoweka sio suala la kujadili? Kuendelea kuhubiri udini mliopandikiza ndio manazidi kutufanya watanzania tuendelee kuunga mkono chama cha dini YETU na kuwaachia CCM ya DINI yenu maana mnatutahadharisha kuwa huko CCM kwa USTAADHI Kikwete sisi hatutakiwi ndio maana Sekretariati yote ni waislamu
Siko CUF kwa kuwa Mahita alinionyesha VISU na MAJAMBIA yenye rangi ya CUF siku moja kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 kuwa ni chama cha kigaidi na hakifai kuongoza nchi hii. Pia CCM walituambia kuwa CUF ni chama cha KIISLAM kwa hiyo sisi tusio waislam tusijiunge nacho. Nashangaa saizi CCM wanatuambia kuwa CHADEMA ni chama cha Kikiristo kwa hiyo waislam wasijiunge nacho. Which means wametugawa sisi tusiowaislam tusiipende CUF na sasa wanawagawa walio waislam waiipende CHADEMA ili mwisho wa siku watu wapende vyama kwa kufuata itikadi za Dini.Umeshawahi kujiuliza kwanini hauko NCCR au CUF?
Please share your knowledge.
We niweke kwenye kundi lolote unalopenda kwa upeo wako lakini ukweli ni kwamba siasa za majitaka kwa Tanzania ya sasa hazina nafasi kabisa. Huwezi wewe na wenzio Shonza na Mwampamba kuniambia Dr Slaa ni mtu mbaya, wakati huo huo mko kwenye CHAMA KIMOJA NA CHENGE NA ROSTAM. Haiingii na haitaingi kwenye akili ya Mtanzania yeyote kuwa watu kama akina Chenge au Riziwani Kikwete wamepata utajiri wa kihalali na sisi tuunge mkono chama chao cha Mapinduzi. Labda mtawapata walevi tu kuamini itikadi yenuWewe umethibitisha uwepo wako kwenye kundi 1.(ii) kama lilivyoainishwa kwenye chapisho hili.
Siko CUF kwa kuwa Mahita alinionyesha VISU na MAJAMBIA yenye rangi ya CUF siku moja kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 kuwa ni chama cha kigaidi na hakifai kuongoza nchi hii. Pia CCM walituambia kuwa CUF ni chama cha KIISLAM kwa hiyo sisi tusio waislam tusijiunge nacho. Nashangaa saizi CCM wanatuambia kuwa CHADEMA ni chama cha Kikiristo kwa hiyo waislam wasijiunge nacho. Which means wametugawa sisi tusiowaislam tusiipende CUF na sasa wanawagawa walio waislam waiipende CHADEMA ili mwisho wa siku watu wapende vyama kwa kufuata itikadi za Dini.
NCCR sijawahi kabisa kuwasikia,,, ingawa mwaka 1995 nilimpigia kura Mrema. kwa sasa chama hiki hakijitangazi na hata watanzania wengi hatujui kinaongozwaje. Pia tumesikia kuwa mwenyekiti wake ni BWABWA na pia kimeolewa na CCM baada ya mwenyekiti wake kupewa ubunge wa BURE,,, Labda kirudi kwa wananchi kutupa ufafanuzi
Kwa hiyo unanishauri nini?Sawasawam asante kwa maelezo yako.
Kwa maelezo yako moja kwa moja umekiri kwa maneno yako mwenyewe kuwa uko kwenye kundi 1.(ii).
Lengo la hii thread ni kuwasaidia watafiti kuthibitisha uwepo wa makundi yaliyoanishwa na asante kwa kufanikisha hilo.
Kwa hiyo unanishauri nini?
Niwasaliti wale watoto waliofeli mwaka huu baada ya kupewa elimu mbovu kwa kujiunga na CCM??
View attachment 86583
Niwasaliti hawa watoto ambao wanapata ADHABU ya kusoma kwa kuiunga mkono CCM iendelee kuwaharibia future yao?
Naomba ushauri ZeMarcopolo kama nimepotea kwa kuunga mkono ukombozi wa pili wa Mtanzania ambao ni mgumu zaidi kwa kuwa mkoloni ni mweusi mwenzetu.
Solution pekee iliyopendekezwa na chadema kwenye hili ni kufanya maandamano!!!