Data za nini wakati kila kitu ki wazi?Nenda ukapata data redet
Chuki hazikwepo wakati wa cuf, nccr? Na Pro. Lipumba alipojeruhiwa wakati wa maandamano ya cuf ile siyo chuki na kupandikiza udini kwamba cuf ni cha waislamu siyo chuki? Au chuki kwako mpaka upigane na mtu ndo chuki tu?
Natoa wito kwa wana cdm wote kutokununua kazi za wasanii hao.alunta inaendelea dhidi ya magamba
vijana tutaendelea kuwapinga wale wote wanaokwamisha ukombozi wa nchi ukiwemo wewe , mama zenu wanahangaika na maisha yenu , kutwa kucha wanapika vitumbua na kusukuma chapati ili mjikimu , leo wamekuja cdm kuboresha maisha yenu mnawabeza !

maisha gani mnaboresha, nipe hata mfano mmoja, ukombozi wa wapi, yaani mnachukua mikopo huko nje badala hata ya kuonyesha mfano mjenge dispensari moja, mnakuja mnakodishia chopa, alafu mnasema ukombozi,
hizo hela mlizoteketeza nani atakuja kulipa km si watanzania?????
vijana tutaendelea kuwapinga wale wote wanaokwamisha ukombozi wa nchi ukiwemo wewe , MAMA ZENU WANAHANGAIKA NA MAISHA YENU , KUTWA KUCHA WANAPIKA VITUMBUA NA KUSUKUMA CHAPATI ILI MJIKIMU , leo wamekuja cdm kuboresha maisha yenu MNAWABEZA !