Chama cha Kilaghai Tanzania...

Chama cha Kilaghai Tanzania...

Unapotoa hoja hisia zisikuzidie bali tambua kuwa hakuna chama cha siasa duniani ambacho si laghai na tofauti ya ccm na cdm ni nani ana dola tu,ila siasa zao wote zinafanana kwenye mzani wa ushindani maana wote wanabadilshana uzoefu na wanachama.
 
Swala la nepotism liko kila mahali. Hata wewe leo hii ukipewa cheo chochote iwe ni CCM,CHADEMA au Serikali ya CCM lazima uta-practice the same. That's nature. Mbona Watanzania hawasemi CCM ni chama cha KIDINI,KIDUGU au KIKABILA? Vigogo karibu wote wa CCM wamejaza ndugu zao kwenye chama, anza kwa Mama Kiwete,Riz,Kiwete, Dr.Hussein Mwinyi,Nepi Mosses Nnauye,Vita Kawawa,Lusinde,Wassira, Warioba,na wengineo.

Kikwete amejitahidi sana kuingiza Waislamu kwenye Serikali yake. Mbona Watanzania hawapigi kelele kuwa kuna udini na ukabila ndani ya CCM na Serikali yake???

CCM acheni propaganda za kishenzi.

Mmmh pole bendera fuata upepo naona povu linakutoka kwakuambiwa ukweli!
Ni sisi wa tz tuliisimasha NCCR na badae tukaibomoa,sasa nizamu ya hiki chama chakitapeli.
RIP wachaga na chama chenu!
 
Kwamba ZeMarcopolo haoni kuwa CCM ni chama cha kifisadi na kilaghai kilichotumbukiza umma wa Watanzania kwenye lindi la umasikini kwa miaka 50 hii, ni jambo la kushangaza! Kwamba haoni kuwa kwa miaka hii 8 ya JK amewalaghai watz kuwa watakuwa na maisha bora kwa kila mmoja wao, ni jambo la kustaajabisha. Kwamba hata anadiriki kuwanyooshea kidole CDM ni kituko! Kweli Nyani haoni kundule!

Sasa hii CHAGADEMA ambayo mwanzo tuliiamini mbona tena sasa imeshatuvunja moyo,
Mwenyekiti mwizi,ruzuku na pesa za sabodo zinaliwa hovyo,katibu nae anajikopesha pesa za ruzuku bika utaratibu,mwenyekiti anazalilisha mama zetu,Viti maalumu vinapatikana mpaka mwenyekiti ananilii,yani ilimradi kero.Halafu majukwaani mnapinga ufisadi,shame!
 
CHADEMA wanasema kuwa CCM ni chama cha MIZIGO, Chadema hupokea wanachama walitimuliwa au kuondoka CCM, kama chadema wanapokea hao wanachama maana yake ni kwamba hata CHADEMA ni CHAMA CHA MIZIGO.

Nataka kuongea hawa vijana wa ufipa, vijana waliopeleka matumaini yao katika vya upinzani bila kujishughulisha, vijana wanaotaka kuhalalisha gongo kupitia babu yao Bwana Slaa.

Mtu mwenye akili timamu na busara zake hawezi akasimama mahali akasema chadema ni chama makini, HAKUNA CHAMA MAKINI ILA KUNA WATU MAKINI.

Chama chochote cha kisiasa kinaundwa na binadamu, hurka ya binadam ni ubinafsi tamaa na chuki. Wenye tamaa hata chadema wapo, wenye chuki hata chadema wapo na wenye kujilimbikizia mali hata chadema pia wapo. Sasa utasemaje kuwa ni chama makini? Hapa nataka kupingana na vijana wa BAVICHA kwamba chama chao hakina mapungufu yoyote, kwamba maamuzi ya chama chao huwa hayakosewi. Sijui maamuzi yao hufanywa na malaika?

Inawezekanaje chama kisiwe na mapungufu!? jamii zetu zina wezi, vibaka, wachawi na wavivu mnataka kusema chama chenu hakina watu wa namna hiyo? Imewezekanaje? lakini hawa vijana wa mbowe wamewekeza matumaini ya maisha yao kwa chadema bila kutumia utashi wao binafsi.

Kama CCM ni ukoo wa kuanzia babu mpaka mjukuu na CHADEMA wanapokea wanachama wanaotoka CCM basi hata CHADEMA ni ukoo wa PANYA.

nenda basi shule kdogo ujue unayoyasema,,, kama hamna chama makini kuna watu makini na chama kinaundwa na watu,,, huoni utakua na matatizo ya kufikiria? Mtu akihama ccm kwenda CDM anaacha yale ya ccm huko huko anaenda kukuta mambo mapya huko,,, kama umzigo anao anauacha huko hko,,,
 
Mdau si vyema kuzungumzia vitu usivyovijua ili mradi tu uonekane umeanzisha maada, hizo unazoleta ni prpaganda tu, na si vyema kurahisisha mambo kiasi hicho. Hii tabia ya kutoa maamuzi ya kuongea kwa kukurupuka itatugharimu watanzania jana mh. Lukuvi alikurupuka na sasa ameharibu hata uchunguzi kwa kuwa tayari majibu ya serikali yalitosha kuhitimisha uchunguzi tayari yanamuelekeo fulani wa kushutumu upande fulani kwa wenye akili tunajua nini kinachoendelea, wewe ccm hauijui tuulize sisi ndugu. watanzania tuache ulaghai dhambi ya uongo ni mbaya sana, tafakari sana haya vinginevyo tutazaa taifa la watu wasiofikiri.:shock:

Tuliiheshimu na kuiamini sana CHAGADEMA kumbe ni hivyo kabisa!
 
Nakumbuka miaka ya nyuma, unapotongeza demu si kwa hoja zako bali za kumkandia unayedhani ndiyo mshindani wako mkuu!!
Hoja zako zinakuwa:-
Angalia kwanza hana akili darasani namzidi, kwao maskini, pia hawana hata gari tena nasikia baba yake ana ukoma na maza wake anapikaga chai kwenye ofice ya dingi yangu!! nk

Kazi ipo wadungu ndiyo maana nasema ndani ya CCM mwenye akili ni Lusinde tu anayekiri waziwazi kwamba adui wa CCM si CDM
 
nenda basi shule kdogo ujue unayoyasema,,, kama hamna chama makini kuna watu makini na chama kinaundwa na watu,,, huoni utakua na matatizo ya kufikiria? Mtu akihama ccm kwenda CDM anaacha yale ya ccm huko huko anaenda kukuta mambo mapya huko,,, kama umzigo anao anauacha huko hko,,,

kwa hicho ulichoandika hapo sina budi kusema kuwa kuku wangu wanaakili kukuzidi mkuu, kuwa na mtu mmoja makini na kuwa na wanachama laki mbili mizigo huwezi kujiita kuwa chama chako ni makini
 
Hakuna chama ambacho hakina doa, kwa kuwa binadamu siyo malaika na wala hawatakuwa. Mtoa hoja anataka kutuaminisha kuwa chama tawala ndiyo kiko vizuri zaidi. Lakini anasahau nacho kina matatizo na changamoto nyingi tu. hapa naona ni propaganda tu wala hakuna hoja yenye mashiko.
 
Unaweza kusema Chama fulani ni kilaghai sawa, kumbe wewe ndie uliyezaliwa ktk ULAGHAI kwa mama yako kumdanganya baba yako kuwe wewe ni mwanae kumbe sio!
 
kwa sababu ni jukwaa la siasa it is ok,vinginevyo hapa kilichoandikwa ni sawa na kujisaidia njiani ukiangalia huku na huku.
 
Ikawa jioni ikawa asubuhi jua likipambazuka, MUNGU WA ISRAEL akasema CHADEMA NA IWE! na ikawepo kama alivyo nena.Ndugu yangu utahangaika sana lakini ukweli wa mambo uko palepale.Yanayo fanyika CHADEMA yananafuu mara 1000 ya yanayotokea huko kwa wezi wakuu. kwa akili yako ulitaka cdm harakaharaka wa mwamini chris michosho huku wakijua udhaifu wake in and out?

Hakuna jambo linalo nikera mimi kama kuwaachia wazungu kupora ma;li za nchi hii watakavyo. makampuni ya wazungu karibu yote si miongoni mwa makampuni yanayo lipa kodi ingawa yanapata super profits.viongozi hawa wa ccm wanajua lakini hawawafuatilii kwasababu wanahongwa na hivyo kujinufaisha binafsi.
ndani ya chama hiki kubebana hasa kwa watoto wa vigogo wa zamani usipime na ndio maana leo unawasikia watoto wa karume,kawawa,kikwete,makamba,ntimizi nk usifikiri ni mahiri hivyo kisiasa hapana wanabebana.na mtu kama wewe ZE MARCOPORO usitegemee kupata hata ukatibu tarafa utaishia kulipwa book 7 tu au ukiandika sana kama ulivyo fanya leo watakuongezea book 9.CHUKIA UMASIKINI CHUKIA CCM, HAMIA CHADEMA.
 
Nathubutu kusema ya kuwa Ze Marcopolo umeamua kwa makusudi tu kujitoa ufahamu na uhalisia,hivi ukiachilia mbali madhaifu ya CDM,ni nani haswa aliewafikisha watanzania hapa walipo?umeshajiuliza mamilioni ya watanzania wanaishije?vijana waliomaliza vyuo vikuu na hawana ajira umeshajiuliza serikali ya chama tawala inawasaidiaje?shule zisizo na madawati na vyumba vya madarasa na walimu wa kutosha je ni sawa?Umeme ulivyopanda,juzi nimenunua umeme wa 15,000/=nikapata units 22.5 je ni sawa?kuna vijiji havina maji safi na salama mpaka leo tunaposherehekea miaka 50 ya uhuru na mapinduzi matukufu,je ndivyo inavyopaswa kuwa?Hivi umeshajiuliza kwa nini hospitali zetu hazina huduma za kuridhisha,dawa na wataalamu na ni nani kasababisha?Ulishamuona mama yako kijijini akitembea umbali mrefu akitafuta ndoo 1 tu ya maji na bado akayakosa?ulishawaona wadogo zako wakikosa dawati na kukalia jiwe?ulishajiuliza kwa nini jamii nyingi ni maskini na huku tukiaminishwa ya kuwa uchumi unakua? ulishajiuliza ni nani anawaua tembo wetu?Vipi kuhusu kuongezeka kwa watumiaji na biashara ya madawa ya kulevya?Mjomba huku kwetu hali si shwari,tembelea baadhi tu ya vijiji na maeneo kadhaa ujionee,kimsingi siishabikii CDM,ila utaifa kwanza,ujinga mwingine baadae,hatuichukii CCM yenu ila hali ni mbaya,nendeni mkawasikilize wananchi,hawataki pilao,wala khanga na flana zenu,wala magari yenu ya kifahari,huduma muhimu tu za mlala hoi kama mimi.
 
CHADEMA wanasema kuwa CCM ni chama cha MIZIGO, Chadema hupokea wanachama walitimuliwa au kuondoka CCM, kama chadema wanapokea hao wanachama maana yake ni kwamba hata CHADEMA ni CHAMA CHA MIZIGO.

Nataka kuongea hawa vijana wa ufipa, vijana waliopeleka matumaini yao katika vya upinzani bila kujishughulisha, vijana wanaotaka kuhalalisha gongo kupitia babu yao Bwana Slaa.

Mtu mwenye akili timamu na busara zake hawezi akasimama mahali akasema chadema ni chama makini, HAKUNA CHAMA MAKINI ILA KUNA WATU MAKINI.

Chama chochote cha kisiasa kinaundwa na binadamu, hurka ya binadam ni ubinafsi tamaa na chuki. Wenye tamaa hata chadema wapo, wenye chuki hata chadema wapo na wenye kujilimbikizia mali hata chadema pia wapo. Sasa utasemaje kuwa ni chama makini? Hapa nataka kupingana na vijana wa BAVICHA kwamba chama chao hakina mapungufu yoyote, kwamba maamuzi ya chama chao huwa hayakosewi. Sijui maamuzi yao hufanywa na malaika?

Inawezekanaje chama kisiwe na mapungufu!? jamii zetu zina wezi, vibaka, wachawi na wavivu mnataka kusema chama chenu hakina watu wa namna hiyo? Imewezekanaje? lakini hawa vijana wa mbowe wamewekeza matumaini ya maisha yao kwa chadema bila kutumia utashi wao binafsi.

Kama CCM ni ukoo wa kuanzia babu mpaka mjukuu na CHADEMA wanapokea wanachama wanaotoka CCM basi hata CHADEMA ni ukoo wa PANYA.

Ahsante mammy kwakazi nzuri usisahau kupitia buku7
 
Sawa bwana ila USIIKARIBIE CHADEMA TAFADHALI CZ NITAKUNG'OA MENO.
 
Back
Top Bottom