Chama cha Kilaghai Tanzania...

Chama cha Kilaghai Tanzania...

Nitakuwa wa mwisho kuondoka CHADEMA kwa hiari. Kamwe sitoshawishika na ULAGHAI wa akina zemakopolo na wachawi wengine wa aina yake wanaitafuna keki ya taifa hili na masazo kuficha ughaibun kwa ajili ya wajukuu wao.
 
Inaskitisha mtu uliyemwamini anageuka msaliti kwako, nilifikiri hotuba za viongozi wa upinzani wanavoponda matumizi mabayaya serikali, wangesimama na kutoka nje kupinga hiyo posho. Lakini pesa kitu kingine, uzalendo wameweka mfukoni waongezwe pesa ili wajitajilishe! Lakini wakianza hoja ambazo hazihusu posho utasika tulipeleke kwa wananchi, kwakuwa watz tunavichwa kama vya panzi watu wataingia barabarani kuwafuata hawa wajinga na mwisho wa siku watu watapigwa risasi nao wanarudi bungeni au wanaenda ikulu kunywa na kula na kikwete. Mtu mwenye akili anaweza kutafakari na kuona voongozi wetu wote upinzani na chama tawala wote ni walafi hakuna atatukomboa ila wanatunyonya. Angalia wapiga kelele wote kimwa, yuko wapi Lemma, Zitto, Lissu, Makamba, nchemba, Mbowe, wote kimwa. Subiri waanze hoja kila mmoja atataka aonekane, kwa mfano wanakimbilia hoja ya serikali tatu au mbili, kwanini wasikimbilie elimu kuibolesha iwe bure kikatiba, dispensary ziboreshwe watu watibiwe bure kikatiba, pembejeo kwa wakulima, ajira kwa vijana. Nasie raia kwasababu akili zetu zimetumika au ujinga hatuelewi tunashabikia nini kwenye hivi vyama, utasikia mi kamanda ujinga mtu hunalolote unatumika kama condom au toilet paper. Tuzinduke ili chaguzi zijazo tuchague viongozi bora, sio wanaotudanganya hatutachukua posho, mwisho wasiku wanaweka mfukoni. Tuache ujinga!
 
[QUOTE = Elder maximum; 8777425] Inaskitisha person you believe he turned traitor to you, I think the speeches of opposition leaders voponda mabayaya government spending, they would stand up and come out against such allowances. But money nothing else, patriotism solemnly pocket money they are added to wajitajilishe! But starting points that do not include allowances will appropriate we send it to the people, because ATZ we head as of grasshoppers people will come on the road to follow these stupid by the end of the day people are shot and they returned to parliament or going to the palace to drink and eat and Kikwete. Intelligent person can reflect and see all of our voongozi opposition and the ruling party are all greedy but no one redeemed the tunyonya. See all the shouting of, where is the Lemma, Zitto, Lissu, Makamba, nchemba, Mbowe, both become violent. Wait to start to move everyone will want to appear, for example, the government rushed to move the three or two, why not resort to constitutional education should be free kuibolesha, Dispensary improved people treated free of constitutional, inputs for farmers, jobs for young people. Continue in the masses because our minds have been used or ignorance we do not understand we do in this society to support, you'll mi commander foolish man nalolote is used as condom or toilet paper. Let's be active for the next elections to choose good leaders, not who deceived us and we can take allowances, last night put the pocket. Leave ridiculous! [/ QUOTE]

WEWE MWENYEWE MUONGO UMEDANGANYA HAPA NA WEWE UPO CDM?
 
Mkuu, kwenye heading ungeongeza pia chadema chama cha wanywa gongo
 
Kama cdm chama cha wahuni....je hao hao wa miaka 50
i.....tafakari hili
 
CCM ni chama cha kishenzi na kihuni . Sifa kubwa ya kuwa mwana ccm ni kujitoa ufahamu.
 
Chadema ni chama cha wanywa gongo na viroba viongozi wake ni ma dj,waiba wake za watu na wezi wa magari.
 
ImageUploadedByJamiiForums1393140363.541532.jpg

Hapa nitaainisha baadhi ya mambo
yanayoiondoa CHADEMA usoni na moyoni mwa
watanzania wanaotaka chama kinachopinga
ufisadi.
1. Mmiliki wa jengo lililopangishwa na
CHADEMA Kinondoni kama ofisi za makao makuu na bei ya pango kwa mwezi vimefanywa
siri. Mara kadhaa swali hili limeibuliwa lakini
hakuna jibu lililoweza kutolewa na uongozi wa
CHADEMA.
2. Wanachama walioomba fursa ya kushiriki
tenda ya kununua magari ya chama wamenyimwa fursa hiyo na hatimaye tenda
hiyo imetolewa kwa usiri mkubwa. Chris Lukosi
amekuwa akishutumiwa kuwa sababu ya kujitoa
kwake CHADEMA ni kunyimwa tenda hii, lakini
pale wadau walipohoji baada ya Lukosi
kunyimwa tenda hiyo ni nani amepewa na kwa vigezo vipi?, kinaibuka kigugumizi.
3. Swala la Katibu Mkuu wa chama kujikopesha
mamilioni ya shilingi zilizochangwa na
walalahoi kwa ajili ya shughuli za chama.
Ikumbukwe kuwa watu waliochangia M4C
walifanya hivyo kwa vile waliamini kuwa michango yao itakiwezesha chama kujiimarisha.
Taarifa kuwa pesa zimetumika kifisadi
zimewavunja watu moyo.
4. Taarifa za Josephine Mushumbusi kulipwa
mamilioni ya shilingi za chama kwa kazi
anayoiita ya kujitolea. Wadau walihoji kuwa na wao wangependa kujitolea kwenye shughuli za
chama ili walipwe hayo mamilioni. Ilidhihirika
kuwa Josephine alipata fursa hiyo kwa
upendeleo.
5. Pesa za ruzuku zimekuwa zikiishia Makao
Makuu. Watendaji wa chama mawilayani wamekuwa wakifanya kazi bila nyenzo. Hii
ilisababisha mpaka kukawa na mtafaruku huko
Mpanda kwa kukosa ofisi ya wilaya ambayo
kimsingi ni jukumu la chama makao makuu
kuhakikisha chama kina ofisi za wilaya.
Ikumbukwe pia kuwa matumizi haya mabaya ya fedha yalikuwa sababu ya mvutano wa kisiasa
kati ya marehemu Chacha Wangwe na kiongozi
Mkuu wa Chama.
6. Kumekuwa na taarifa za matumizi mabaya
ya pesa za Sabodo jambo ambalo limeelezewa
kuwa sababu ya kumfanya Sabado kuahirisha ahadi yake ya kuijengea CHADEMA ofisi za
makao makuu na chuo cha siasa.
7. Katibu Mkuu wa CHADEMA ni miongoni mwa
washutumiwa wa ufisadi wa mamilioni ya pesa
za mradi wa maji wa Karatu.
8. Viti Maalum vya ubunge vimetolewa kwa upendeleo ambapo akinamama waliojitolea
kukijenga chama wameachwa pembeni na
nafasi hizo kupewa akinamama walio karibu na
viongozi wa juu wa chama. Hapa ikumbukwe
kuwa mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la
CHADEMA (BAWACHA) wa Taifa alishinda nafasi ya uchaguzi wa viti maalum, lakini
akatolewa kwa kuambiwa kuwa hajakidhi vigezo
vya kuwa mbunge ingawa amewaongoza
wanawake wenzake kwa muda mrefu ndani ya
chadema. Wakati huohuo mwanamama
anayeishi Marekani, Leticia Nyerere amepewa Ubunge wa viti maalum kutokana na
"kufahamiana" na mwenyekiti wa chama. Hili
limewavunja moyo wengi walioanza kuiamini
chadema.
9. Vijana kama Kafulila walioonekana kuwa na
ari ya mabadiliko ndani ya chama wamekuwa wakinyimwa nafasi ya kugombea uongozi
kinyume na katiba.
10. CHADEMA kukanusha kauli ya Nape kuwa
wanapewa msaada na chama cha siasa cha
Ujerumani, baadae ikadhihirika kuwa ni kweli
wanapokea msaada huo. Hii imedhihirisha kuwa CHADEMA sio wawazi katika utendaji wao.
Wadau wanajiuliza chama hicho cha siasa
kinataka nini Tanzania mpaka kikipinge chama
kilichoasisiwa na wapigania Uhuru na kutaka
chadema iingie madarakani? Ikumbukwe kuwa
muasisi wa CHADEMA Mzee Mtei, alikataa kushiriki harakati za kupigania uhuru na pia
alikataa kujitolea kuijenga nchi baada ya Uhuru.
11. Hesabu za pesa zinazochangwa na
walalahoi kwa ajili ya M4C imekuwa ni jambo la
siri kubwa ndani ya CHADEMA
 
Sijui kwanini hii dhambi ya ufisadi ipo kila kona!!! Sielewi chanzo!! Mnisaidie jamii forum
 
mwaka kesho utaama CCM kwasababu unafuata upepo wa BAGAMOYO ukiondoka na kwenda MUNDULI WEWE haupo
 
chadema imejaa wachaga wa kariakoo akili yao ni biashara tu.hawana mpango wa kwenda ikulu ile ni vicoba ya wachaga kwanza chris lukos alikosea njia,tenda wasimpe.mrema,lema.mtei.mbowe,ndesa,lymo,matei, wakupe wewe.shimboni
 
chadema imejaa wachaga wa kariakoo akili yao ni biashara tu.hawana mpango wa kwenda ikulu ile ni vicoba ya wachaga kwanza chris lukos alikosea njia,tenda wasimpe.mrema,lema.mtei.mbowe,ndesa,lymo,matei, wakupe wewe.shimboni

Kumbe!!!!!!!!!!???!!! Sasa sisi wazaramo
 
Back
Top Bottom