Ulisema kumi, hili ni la 9???Pia ubadhilifu wa ruzuku
Wadau nimeona ni vyema nikawafumbua macho watanzania wenzangu kuhusiana na Chama hiki cha Kihuni nchini. Nimejaaliwa kubaini uozo mkubwa ndani ya CHADEMA na watanzania wanapaswa kukipiga vita chama hiki kwa gharama yoyote. Mambo hayo ni:
1. Udini
2. Ukanda
3. Ukabila
4. Fujo na uvunjifu wa amani
5. Uzinzi unaofanywa na viongozi wa kitaifa
6. Vurugu bungeni
7. Rushwa kubwa ya ngono ili upitishwe kugombea nafasi yoyote
8. Mwenyekiti kung'ang'ania madaraka
9. Tundu Lissu kutumia vibaya sheria kwa manufaa ya chadema
10. Kutimuliwa kwa kipenzi cha vijana nchini ZItto Kabwe.
Watanzania wenzangu tukipinge chama hiki kwani hakina nia njema na nchi yetu. Karibuni chama makini cha Mwalimu Nyerere CCM.

Hata CCM walaghai balaa waliahidi maisha bora kwa kila mtanzaniaa hatuyaoni mpaka leo wao ndio wana maisha boraa sie ni kulipa kodi kila siku kodi nyambaafffffff CCM

kwahiyo ulitaka wakuletee maisha bora sebuleni kwako?,jiulize umeifanyia nini TANZANIA sio TANZANIA imekufanyia nini?,hiyo chadema ni vurugu na fujo tu hawana lingine tena ukabila ndio umejaa sana;sina chama!,sitaki siasa