Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,633
- 6,229
BAK, ndiyo maana nikasema Chadema kwa sasa wana nafuu sana katika vyama vyote vya Tanzania, ila wapo kwenye hali mbaya sana kwa mashambulizi kutoka CCM.
Rwakatale kwa sasa ndiyo wamemkaanga na itabidi awe mwangalifu zaidi kwenye mambo yake. Ila naweza kumtetea kuwa kwenye kitengo cha Usalama cha chama, inabidi uwe TOUGH na mzito hasa. Huko hakuna kuchekeana ili muradi usizidishe mpaka. Ukiona uuwaji unaoendelea hapa nchini na ulaghai, inabidi UMAFIA wakati mwingine ufanyike ili Wasaliti wajue kuwa Wakisaliti, basi cha moto watakiona - Ni jambo la kawaida hili hata VATICAN linafanyika.
Ukiangalia katika vyama vyote, unaona ni heri Tanzania itawaliwe na Chadema walau kwa miaka 5 ili CCM wajipange upya na waje na viongozi Imara na siyo waliopo sasa na hasa juu maana huku chini huwa ni Mkia.

Ahsante sana Mkuu lakini kamwe hatuwezi kukifananisha CHADEMA na CCM, CCM madudu yao ya kuisambatarisha nchi yako chungu nzima na hata kabla Mwalimu hajafariki aliona dalili nyingi za CCM kuwa chama cha hovyo hovyo tu na akatoa onyo kwa CCM kuhusu utendaji wake. Haikuwa bahati CDM kuanza kupata umaarufu katika sehemu mbali mbali nchini. Watanzania wamenza kufungua macho na kumjua mbaya wao anayesababisha nchi kubaki nyuma kimaendeleo.