Chama cha Kilaghai Tanzania...

Chama cha Kilaghai Tanzania...

Mkuu kama unalima kilimo cha kijungu jiko trekta la nini?

Amini usiamini nina eka mia nalima kwa mkono navuna gunia moja la mahindi kwa kila eka. Najua ningeweza angalau kuvuna gunia nne kwa kila eka; sina uwezo kwa matokeo ya siasa za ulaghai za JK. Waliwahi kunipora hata shaba hilo kwa aibu wakanirudishia. Kwa JK na dola yake ULAGHAI NI LEFT, RIGHT, TOP, BOTTOM AND CENTRE. Sikuonei wivu kwa kuwa ndani ya mfumo yote maisha
 
Mkuu mimi nina hakika ameanza ni lweli hajamaliza lakini ahadi imeanza kutekelezwa. Nadhani katika utekelezaji huu kulikuwa na makosa ya kiufundi pale walipopeleka power tillers sehemu ambazo hazifai kulimwa kwa power tillers bali matrekta. Kuna mchakato watu wanakopeshwa matrekta kwa riba ndogo sana. Ndugu yangu amekopa na anatumia kulimia. Kuna hatua kubwa sana zimechukuliwa katika kutekeleza ahadi hii.

Obviously, kwa 'speed' hii, hataweza 'kumaliza' matumizi ya jembe la mkono.
Zingatia kuwa 70% ya wakulima wanatumia jembe la mkono (according to serikali ya Tanzania).
 
Amini usiamini nina eka mia nalima kwa mkono navuna gunia moja la mahindi kwa kila eka. Najua ningeweza angalau kuvuna gunia nne kwa kila eka; sina uwezo kwa matokeo ya siasa za ulaghai za JK. Waliwahi kunipora hata shaba hilo kwa aibu wakanirudishia. Kwa JK na dola yake ULAGHAI NI LEFT, RIGHT, TOP, BOTTOM AND CENTRE. Sikuonei wivu kwa kuwa ndani ya mfumo yote maisha

Kama kweli una shamba ekari mia moja na unalilima kwa mkono, tupe mawasiliano ya diwani wako ili tumuagize aje kukagua hilo shamba na utaratibu wa kukupatia vifaa ufanyike.
 
Can't talk about our Tanzania guys.... these parties have less than 10millions members....and we are 45 millions.....Tanzania is more important than political parties...
 
Tatizo ni kwamba kila tukitaka kuongea mambo ya maendeleo chadema wanaleta ulaghai, kama walivyofanya kule Ntwara.
 
Can't talk about our Tanzania guys.... these partsies have less than 10millions members....and we are 45 millions.....Tanzania is more importang that political parties....

Yap, ni kweli. nadhani sasa nchi itatawalika, ukiitazama vizuri hiyo video ya LWAKARE, hakika hawa jamaa watakuwa wanahusika.
 
Tatizo ni kwamba kila tukitaka kuongea mambo ya maendeleo chadema wanaleta ulaghai, kama walivyofanya kule Ntwara.

Siamini ulichokiandika labda unihakikishie kuwa Chadema ina nguvu zaidi ya serikali kuweza kulaghai na kukalaghaika
 
Kama kweli una shamba ekari mia moja na unalilima kwa mkono, tupe mawasiliano ya diwani wako ili tumuagize aje kukagua hilo shamba na utaratibu wa kukupatia vifaa ufanyike.

Bahati mbaya diwani mwenyewe ndiye aliyeninyang'anya shamba na kunirudishia kwa aibu. Kwa nini taratibu zisiwe wazi ili wahitaji tuweze faidika? Another ulaghai.

NAKUHAKIKISHIA NI KWELI NINAZO KIKWAZO NI SRIKALI YA CCM LAGHAI
 
Wewe huhitaji msaada.
 
mmmmh nina wasiwasi na hoja zako kama hazijakaa kwenye kuleta demokrasia vile bali ni kukipaka matope chama fulani, aidha si mmoja wanaokiunga chama hicho mkono au una chuki zako binafsi....
tukianza na hiyo dhana ya nepotism mbona CCM kuna wakina Nape Nnauye, Hussein Mwinyi, January Makamba na wengine wengi ambao wanapewa madaraka kwa kuangalia ni mtoto wa nani.....
halafu suala la mambo ya fedha ya CDM kuwa na usiri mkubwa....!!! ni wpi tuliyaona ya CCM, CUF au chama kingine mpaka tuanze kudai uwazi wa chama kingine....... kuhusu wafuasi me siwezi kusemea nafsi zao ila ukweli utaonekana hapo baadae
 
Chadema wekeni wazi matumizi ya ruzuku na michango ya M4C mliowachangisha walalaoi.

Viongozi wa Chadema mmekwenda China kutengeneza pikipiki za Chadema kwa bei za kutisha mmekataa kuwafahamisha Wananchi gharama za pikipiki.
Ikiwa leo kuuliza matumizi ya hela za chama ni kosa la jinai
Jee hawa watu wakipewa nchi tutaweza kuhoji matumizi ya hela za serikali?
Na ukihoji makamanda wanakuwa wakali kweli

Kwa kifupi Chadema ni time bomb na siku likiripuka ni hatari kwa taifa zima
 
Mini sina chama na basi ss hv sijafikiria kura yangu nimpe nani wa chama gani. Ss kwa ss tulio neutral nilitegemea cdm gn jf ndo watueleze sera zao na ktk majukwaa vlvl. Imekuwa tofauti sn kwn jambo llt linalohuau cdm ukihoji au kukosoa utakumbana na matusi, karaha, crash za kupindukia bdl ya kuelimishwa. Hii iko vp? Cdm mniwie radhi lkn ukweli unaishi
 
Msingi wa hii post ni HISIA HASI tu juu ya CHADEMA na SIO FACTS. Msingi wa hii thread sio mantiki, narudia tena SIO MANTIKI na kwahiyo ni hoja ambayo akili yoyote inayofikirishwa itakubali kwamba haina logical legitimacy...nita bainisha moja ya mapungufu mengi tu ya hii thread...kusema kweli, ni ujinga kusema CHADEMA kimejaa opportunists kama Slaa na Shibuda kwasababu hao watu una uhakika kuwa ikiwa watanyimwa nafasi basi watahama chama!!! Huku ni kuhukumu watu, na kusahau the fact kuwa hawa ni wanasiasa, ni binadamu, wanamapungufu, na zaidi wanahaki zote za kupigania maslahi yao kama wanasiasa...mwanasiasa yeyote ukimwekea mazingira kandamizi ndani ya chama ni lazima atahama chama labda kama lengo lake sio kutumikia wananchi na kukua kisiasa..sasa kuhama kwake hakumaanishi ni mroho wa madaraka!!! na ni stupidity kusema ni mroho wa madaraka...mtu anataka kuutumikia wananchi, halafu mna mnyima nafasi ya uongozi ktk chama jwanini asihamie chama chenye fursa ya yeye kuwa kiongozi!!!
 
je una uhakika gani kama wanaotukana ni CDM....?
umeongea ukweli upi hapo sasa...?
kama wewe unaona kura yako ni mali sana usipige sasa kaa zako kwako.... hebu tuacheni ubinafsi usiokuwa na msingi hapa mimi nashangaa kuona mtu mmoja anajiona bora kuliko wengine akijinadi na kura yake badala ya kusema kura zetu mimi wewe na yule, hebu tuacheni ubinafsi basi tuwe kitu kimoja katika kuijenga tanzania yetu.....
 
  • Thanks
Reactions: Ike
Msingi wa hii post ni HISIA HASI tu juu ya CHADEMA na SIO FACTS. Msingi wa hii thread sio mantiki, narudia tena SIO MANTIKI na kwahiyo ni hoja ambayo akili yoyote inayofikirishwa itakubali kwamba haina logical legitimacy...nita bainisha moja ya mapungufu mengi tu ya hii thread...kusema kweli, ni ujinga kusema CHADEMA kimejaa opportunists kama Slaa na Shibuda kwasababu hao watu una uhakika kuwa ikiwa watanyimwa nafasi basi watahama chama!!! Huku ni kuhukumu watu, na kusahau the fact kuwa hawa ni wanasiasa, ni binadamu, wanamapungufu, na zaidi wanahaki zote za kupigania maslahi yao kama wanasiasa...mwanasiasa yeyote ukimwekea mazingira kandamizi ndani ya chama ni lazima atahama chama labda kama lengo lake sio kutumikia wananchi na kukua kisiasa..sasa kuhama kwake hakumaanishi ni mroho wa madaraka!!! na ni stupidity kusema ni mroho wa madaraka...mtu anataka kuutumikia wananchi, halafu mna mnyima nafasi ya uongozi ktk chama jwanini asihamie chama chenye fursa ya yeye kuwa kiongozi!!!

Wewe hujui kuwa Slaa alisema ili akubali kugombea Urais ni lazima ahakikishiwe anapata mshahara na marupurupu yote wanayopata wabunge. Hii ni kwa sababu alijua kuwa Urais LAZIMA ashindwe na kugombea kwake ni ili kumuachia Mbowe naye apate fursa ya kurudi Bungeni kujijengea jina.

Sasa mtu ambaye anagombea urais baada ya kuhakikishiwa maslahi anakulaghai kuwa yuko tayari kujitolea kwa ajili ya nchiy ake na wewe unalaghaika!!!

Slaa alipoulizwa kuhusu kumiliki kadi ya CCM alisema "akiba haiozi". Unajua maani ya kauli hiyo?
 
takataka hizi mshikaji umetoa wapi? Yani taharifa yako haina kichwa wala mkia. Mi nilishawaambiaga mafisadi waccm na especially nyie mnaojiita vijana, hakuna kazi ngumu hapa duniani kama kujaribu kuisafisha ccm, hapo bado kuisafisha. Chama hiki kikongwe kimeoza from the head to the toes.

Uozo wa ccm mpaka wale kunguru weusi kutoka zanzibar ukiwauliza wanajua, ukitamka tu ccm wanakimbia.

Kuna mambo ya msingi ambayo sisi wananchi tunahitaji kuyasikia na kuyajadili kwa kina; Uwajibikaji wa serikali na viongozi wa ccm, and second, katiba mpya.

Otherwise, ndugu yangu zemacopolo, usitupotezee masaa hapa, you better not waste you time and good energy, kwa sababu the same energy you put kuichafua CDM ndo the same energy is expended kuimarisha CDM. This is according to the law of nature.

Kwanza unaonekana ni mtu ambaye bado haujaweza kuelewa siasa za upinzani, nikimaanisha CDM, halafu pia ni mtu ambaye haujafikia upeo wakukubali kwamba CDM kina nguvu kuliko ccm in TZ esp kanda za ziwa, kaskazini na Nyanda za juu kusini. Hizi sababu ulizozitoa za bendera fuata upepo ni dhaifu mno kama kikwete! Any standard seven students can come up with you observations. Ukitaka watu tujadili point zako kwa uadilifu, inabidi kwanza uaccept uwezo na nguvu ya chama hichi cha upinzani, na usidoubt uwezo wao walio udemstrate wa kuendesha nchi.

Halafu inaonekano pia haujue wananchi wa nchi hii wanamahitaji gani ya msingi, you are just making so many personal attacks.

Kamuuulize Lowasa na rafiki yake Mkapa nini kiliwatokea Arumeru, au kamuulize Obama nini kilimtokea Odinga kwenye mchuano wake na wale washitakiwa wa ICC, japo angalau inaweza kukusaidia kufungua akili yako.

I would like to tell you this as a conclusion, zile zama za zidumu fikra za mwenyekiti zimekwisha, people want to rule themselves and set their own destine, na siyo kuhamliwa mambo yao na wazinzi, waasherati, walevi, wezi, wajinga na mafirauni wachache walioko ndani ya ccm (am quiet sure even you you are not one of them) eti kwa sababu tu wao wanapesa au dola.
 
yangu macho watanzania tuwe makini wasio itambua chadema ndio wataingia mkenge shonza bora ulistuka ukaacha manyoya
 
Mbowe keshasema wabunge wakipungua 2015 atajiuzulu hakusema wakikosa Urais 2015 atajiuzulu, wenye uelewa washaelewa kuwa Dj keshaona kushika Dola sio kaz lelemama.Kama Kaf yenyewe 1995-2000 (znz)walishindwa wataweza hawa Kina Lwakatare na Marando?.labda wabadilishane majina then Chadema yenye makao makuu Lumumba ndo itaishinda CCm ya Mtaa Ufipa Kinondon dsm
 
yangu macho watanzania tuwe makini wasio itambua chadema ndio wataingia mkenge shonza bora ulistuka ukaacha manyoya
Shonza alifukuzwa, nani kakwambia alipenda kuondoka chadema?? Nahisi wewe unasimuliwa tu haya mambo.
 
Back
Top Bottom