T.Mwambungu
Senior Member
- Jan 25, 2013
- 198
- 43
Naboreka sana na hoja ndefu za lawama zisizokuwa na vitendooo. Wewe unafanya nini usianzishe chama chako ukatushawishi wanaume wenzako tukajiungaaaaaaaaaa!!!!!!! Kuna watanzania wangapii ambao sio wanachama wa CCM wala CHADEMAA!!!!>???? Idadi ni kubwa mno so there plenty of fish in the sea why talk about CHADEMA and CCM only!!!!???? Kila siku hadithu zilezile nothing new. UMETAJA CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA MARA THELATHINI NA NANE!!!!!????? REALLY ARE SERIOUS!!!!!!!!!!!!????? TIMES 38!!!!????????
Hao unaowataja kina kisandu, kafulila, mwampamba and the like..... kama ni wazuri kiasi hichooo waonyeshe ubora wao huku waliko why kila siku wamaindama chadema tuu!!! if chadema is not there what will be they talk!!!!?????
Vijana wa siku hizi ni aibu tupuuu wewe umefukuzwa na chama hawakutakii kila siku oh oh chama cha kidini ohh chama cha kikabila!!! mbona ulipokuwa ndani ya mfumo wa hicho cha hatukuyasikia hayooo!!!!!
Tunachotaka kusikia kutoka kwa vijana wenzetuu wanafanya kazi mambo yanafungukaa michongo inaoneka na sio kila siku kukaa na kuomba mungu heri ya chama kimoja kweliiiii!!!! kwa hiloo u pich my nerve nasiwezi nikakuacha uende hivi hivi.
Mimi ni mtanzania and am pro Tanzania kama wewe na hao uliowataja mna uwezo wa kukaa pamoja mkafanya kazi mkatuletea chama kizuri chenye kuleta matumaini ya upande wa pili na kitakachoiondosha CCM au kuifanya iwajibike well n good fanya kazi tuione.
Chadema nawaheshimu sanaaa hasa Zito, Mbowe na wengineo wote waliotumikia hiki chama kwa nguvu zao ili kukijenga kikafikia hapo kilipo. Thats is hard work and mans work..... period... kama huoni hilo wewe si mchapa kazi na kama vipi anzisha na wewe chama utuonyeshe kazii za mikono yako. CHADEMA ina mapungufuu lakini yanazibwa uchapaji kazi wa vijana wao na NATURE of enemy they are fighting against BILA kusahau is very little kid to CCM. CCM imekuwepo miaka mingi and dont tell me CCM love challanges and want to see Oposition parties making any marked successess!!??
BILA KUMUMUNYA MANENO WATANZANIA TUNAHITAJI CHECK AND BALANCED SYSTEM, CCM PEKE YAKE PILA UPINZANIA NI JANGA LA KITAIFA.. MAMBO MENGINE VITAJIFUNZA JINSI VINAVYOKUA....
>Pamoja mkuu.
>cdm kunawaislamu,wakristo,wapagani,na dini zingne nyingi, kunawakubisha?
>cdm kinawabunge,madiwani,na viongozi wengne kuanzia kaskazin hadi kusini, kwani uongo?
>cdm kinaviongozi wazalendo na wanafiki pia kama ilivyo ccm na vyama vingne, kunahasiyejua?
>KUNAWATZ AMBAO HATUSHABIKII VYAMA BALI TUNAANGALIA KIONGOZI TUNAEDHAN NI BORA BILA YA KUANGALIA CHAMA CHAKE, KWANI HAMTUJUI?
>Multipartism unaweza kuwa mfumo wenyetija kwa taifa endapo tutaacha uzembe wa kufikir na tukaamua kujenga vyama makini, na tunapoona mapungufu ya ccm,cdm,cuf,nccr,tlp,..n.k, nijukumu letu kuyakabili na sio kuukataa mfumo mzima wa kidemokrasia kwan kunafaida kubwa ya kuwa na vyama pinzani vyenye nguvu ktk taifa la kidemokrasia.
>PIA KUNAMAMBO LUKUKI YA KUJADILI YENYE KULETA TIJA KWA TAIFA NA SI LAZIMA KILA KUKICHA TUWE TUNAJADILI UCCM NA CDM.NA KUVUNJA MOYO UPINZANI, HAITUSAIDII.
>kunamfumuko wa bei usiokuwa na solution kwa muda mrefu,
>kushuka kiwango cha elimu nchini
>maliasiri zetu nyingi kutokutunufaisha.
>huduma za jamii kuwa duni licha ya kuwa na zaidi ya miaka 50 toka tupate uhuru. Na matatizotuliyonayo lukuki.
>KWANINI TUSITILIE MKAZO KUYAJADILI HAYA?
Nikwanini tuujadili uccm na ucdm kuanzia uchaguzi hadi uchaguzi?
>WATZ TUTOFAUTISHE WAKATI WA SIASA NA WAKATI WA UWAJIBIKAJI.