Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

Status
Not open for further replies.
Nina wasiwasi na tindwa anapiga viroba kama ndu gay....kwanza huyu ni mchochezi akamatwe!!!!
 
Pasco nauthamini mchango wako katika JF na maeneo mengine pia. Ila kwa sababu ya uzoefu wako katika uandishi wa habari ni vyema ukatimiza wajibu wako kama Mweledi pia. Kuleta vitu kama hiki katika JF na kuiweka nusunusu kama ulivyoiweka sio sahihi kabisa.Kwa namna ulivyoiweka unasababisha "public anxiety uncalled for".It is irresponsible! Kama hujaiona JF kwa muono wa gazeti la kila siku hapa Tanzania-ambalo lina-shape Tanzania,unapaswa kufikiri tena

Kumbuka hapa JF kuna watu wa aina mbalimbali wenye fikra za kawaida, za kati na zile za masafa marefu. Si wote wanaweza kuchambua mambo hapa kwa namna ambavyo inapaswa na kufikia tamati ya ukweli.

Kama wewe uliongea na Tendwa kwa maongezi au kwa mazungumzo hilo si jambo la msingi. La msingi ni Tendwa ni "public figure" na chochote atakachozungumza lazima kitakuwa na kitachukuliwa kwa uzito unaostahili haijalishi kama atakuwa amezungumzia hotel akiwa na wewe meza moja au kwenye press conference.

Ulipaswa kuchambua kuwa Tendwa kasema hivi. Sheria ya vyama ipo hivi. Na kwenye kesi ya Lwakatare mwenye kujibu kesi ni huyu. Na kama Jamhuri ikimtia hatiani Lwakatare itakuwa hivi na kisheria CHADEMA katika mazingira haya itakuwa hivi. Na kwa sababu hiyo kama alivyosema Tendwa ni sahihi kwa sababu hizi ya kisheria.Na mchakato wa kisheria wa kuifuta CHADEMA utakuwa ni huu. Pasco how much does it cost you to do this? Kwa nini unaniachia mimi nikuambie namna ya kufanya kazi ambayo ni weledi wako? Ukweli usiochambuliwa vizuri unaweza kugeuka kuwa udaku. Kusema tu "Actus rea" na "Mens reus" bila kuchambua kwa swala ambalo ni "sensitive" kama kufutwa kwa CHADEMA ni kuikosea adabu taaluma yako na ku-undermine heshima ya watu waliyonayo juu yako. Unakumbuka enzi za KIMOTO pale ITV(hayo tunayakumbuka na kuyaheshimu ila kama mazingira ya utunduwazi-utandawazi yamebadilisha mwelekeo wa fikra zake ni vyema ukatufahamisha ili tuweze kukuvua heshima uliyojijengea).Please please desist from fragmenting Tanzania any further. People need inspiration and not preaching of fear nor divisive and misdirected fallacies
 
Alivyochukua mke wa mtuhumiwa akiwa state attorney alikua na -bonafide genuine- pia...
 
Mimi nadhani hakuna haja ya kukifuta CHADEMA wananchi wameishawaelewa kitakufa kifo cha kawaida pole pole.
 
Vijana wa Mwigulu msitoe povu bure,kukifuta CHADEMA si rahisi kama mnavyojidanganya au kudanganywa na huyo kada wa CCM Tendwa
 
Siku ya leo jioni, nilikutana na Msajili wa vyama, Jaji John Tendwa, nikamsalimu, na akanikaribisha alipokuwa amekaa peke yake, hivyo nikamjoin kwa maongezi tuu, na sio mazungumzo!.
ni kwa nini alikaa peke yake!? ...ndio ajue sasa kuwa maisha ni watu na wale anaokutana nao kwa ajili ya vyeo vyao sio 'wenzie' maana vyeo vikiisha hatawaona bali wale watu wa kawaida ndio wanafanya maisha yawe ya furaha na wengi wao ndio hao anaotaka kukifuta chama chao - CHADEMA! Na kama kweli anaingia JF ni kwa nini asiingie na ID iliyo wazi tukajua sote kuwa tuko nae badala ya huo unafiki wa kuingia na ID fake!
Kama kweli alikuwa serious basi mawazo yake hayatofautiani na ushahidi wa mchumi namba moja ambao alisema wazi kuwa ni wa 'kuzimu' na si mbinguni.

Ni rahisi kumuondoa Kikwete madarakani kuliko kuifuta Chadema na kama anabisha ajaribu ...kwa wenye akili timamu tunajua nini kinacho endelea ...wanaoption nyingi sana mezani dhidi ya Chadema na hawajui ipi hasa itakayo wasalimisha huku wakichek dirishani 2015 nayo hiyooo...

Pasco umeandika hii habari ukitokea bar au mzee Tendwa alikupa offer nyingi za pombe na kukurupuka na kitu hiki.Nafikiri Mzee Tendwa akijaribu kufanya hivyo awe AMEANDAA KABURI LAKE HUKO SAME AU DAR AU AMEKWISHA KIMBIA NCHI.Muziki wa kufuta CHADEMA VITA YAKE NI ZAIDI YA BOKO HARAMU YA NIGERIA DHIDI YA SERIKALI.CCM kama inataka kuharibu nchi hii istawaliwe lazima isijaribu ujambazi huo, labda wafute chama kama UPDP cha yule. Fikisha salamu hizo PASCO kama ulitumwa fikisha pia kwa wanaokuwezesha kukaa mjini kuvizia tenda za kifisadi.
 
Last edited by a moderator:
Mipango ya Mungu sio mipango ya Tuko wala ya Ze Marcopolo...
Kwani Mfalme Daudi alianza kutawala miaka mingapi baada ya kutiwa mafuta?
TUKO tatizo la
Ze Marcopolo ufahamu wake kuhusu MUNGU wa Mbinguni upo chini sana.anajua sana mipango ya shetani.Ndungu Ze Marcopolo hakuna watu waliopata taabu,shida,dhiki ,maumivu kama watu wa MUNGU.Fuatilia habari za Mitume na Manabii maisha yao na aina ya vifo walivyokufa katika vitabu vya MUNGU.Nakupa mfano mmoja tu kati ya mingi Wana wa Israeli walikaa utumwani misri kwa miaka 400.
 
.....Nikadadisi zaidi, iwapo hayo kwa Chadema, yatathibitika kuwa kufanywa na CCM, jee nacho, atakifuta bila huruma?!. Msajili kwanza alisita kidogo na kusema kama ni CCM, kwa vile hiki ni chama tawala, kikithibitika kufanya makosa hayo, hakiwezi kufutwa right away kwa sababu huko kutakuwa ni kuvunja serikali iliyopo madarakani, bali atakipeleka Mahakama Kuu ili mahakama itoe utaratibu wa nini cha kufanya endapo chama tawala kitapoteza sifa ya kuwa chama cha siasa wakati kingali madarakani!. Hii inamaanisha as of now, hatuna sheria yoyote ya kuibadili serikali nje ya balot box!, hata kama serikali hiyo itakuwa ni dhalimu kiasi gani!, na chama tawala, kikishashika madaraka, hata kivunje sheria vipi, kitaendelea kuwepo madarakani no matter what!........

Wasalaam.
Pasco
Safarini Dodoma.

kwenye mengi mazuri uliyoandika mkuu Pasco hapo kwenye ubluu ndio pwenti inayothibitisha kuwa nchi yetu haiongozwi kwa misingi ya utawala wa sheria. Halafu ndio nashangaa inakuwaje baadhi ya Watanzania wanasifia utawala wa namna hii?
 
Mkuu CHADEMA ni jina tu, chama ni mimi na wengine wengi tuliokua na good faith na taifa hili..
Futa chadema leo, kesho utasajili chama hichi kwa jina lingine tutakalokuja nalo baada ya kufutwa.

Then Pasco 'mens rea' kui-prove sio jambo rahisi kama Tendwa anavyodhani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Lugha zisizo na staha???? To hell with him......aanze na akina Serukamba na yule muimba taarabu Lusinde.

Huyu Mzeee arudi Soni akajenge apumzike......
 
Bado nukta hazijatimia tuu kutengeneza part 2 ama vipi? Kuna jambo moja zuri nimeona. kuboresha katiba kuhusu mamlaka ya msajili wa vyama ama kuondoa kabisa cheo hicho kama hakina faida kwa taifa hasa iwapo kinatumika kulindana na kutetea wanyonyaji coz mwenye haki na muwajibika jamii itamtetea. Vinginevyo tujue mamlaka na uongozi ni kwa wote sio Mali ya ccm.
 
sio kila mtu ni mwanasheria pasco.
tumia lugha ya kawaida kila mtu aelewe.
actus reus.mens rea
usingesoma haya first year LLB usingeelewa.
Mkuu Ze Marco, kuwa bonafide genuine ni one thing!, addmissibility as evedence before the court of law is something else and establishing 'actus reus' na 'mens rea' is something else and finally proving beyond reasonable doubt is quite another! and its not that simple kama establishing the bonafide genuine kwa macho tuu!.
Pasco
 
Huyu Mzee ameanza lini kujifyatua AKILI?. TENDWA iliuweze kufuta chama chochote kile cha UPINZANI nakushauri azima akili za MWIGULU NCHEMBA maana uwa anajuaga watu wote wanaakili kama zake.
 
When you speculate there is no difference between you and Prof Maji Marefu, only that the later is an MP na wewe mpiga debe wa CHADEMA ifutwe. If that is your wish please deploy more forces because you are already defeated.

Na umwambie Tendwa anajidhalilisha kuwepo ofisi za serikali ili hali amepitisha umri. Madai kuwa aliyemteua ndiye atamwambia astahafu ni sawa na kusema yeye boya hana fahamu ya kujua umri wake na wajibu wake.

Nashauri mkatengeneza movie nyingine muipigie debe ili muidhalilishe CHADEMA. Nadhani mungepata chembe ya uwezo wa mwenyezi Mungu mungetuua mbakie wenyewe; ila mtakapobaki wenyewe mtauana huku mnatembea.

Mpe salamu Mwigulu Nchemba, Nape Nauye, Dhaifu JK, Tendwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom