kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 980
- 2,469
Anachekesha kama siyo shangazi yako
Hiki ndio chama cha uvunguni kabisa, ndio nakisikia leoMwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache.
Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 5, 2026 katika Makao Makuu ya AAFP mkoani Dar es Salaam, Shani amesema kauli hiyo inakidhalilisha chama hicho na wanachama wake.
Amesema AAFP ni chama halali kilichosajiliwa, kilishiriki uchaguzi mkuu na kinastahili kuheshimiwa kama vyama vingine vya siasa. Aidha, amesema chama hicho kilikubali kushiriki kikao kilichoandaliwa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa vyama vya siasa kwa hiari, kwa lengo la kuchangia maridhiano na kuimarisha amani nchini.
Soma Pia: Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini
"Mazungumzo ya aina yoyote yakiacha CHADEMA nje, hakuna mazungumzo hapo. Tusidanganyane, unachukua chama kinaitwa AAFP, chama chenye watu wawili unachukua AAFP, chama ambacho hata mke wa mwenyekiti wake ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha mfukoni 'briefcase', ukiacha CHADEMA nje umeacha robo tatu ya wananchi wa nchi hii”, alisikika Heche.
View attachment 3643894
Aaah kumbe ni Shani alafu Kitumbua?Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache.
Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 5, 2026 katika Makao Makuu ya AAFP mkoani Dar es Salaam, Shani amesema kauli hiyo inakidhalilisha chama hicho na wanachama wake.
Amesema AAFP ni chama halali kilichosajiliwa, kilishiriki uchaguzi mkuu na kinastahili kuheshimiwa kama vyama vingine vya siasa. Aidha, amesema chama hicho kilikubali kushiriki kikao kilichoandaliwa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa vyama vya siasa kwa hiari, kwa lengo la kuchangia maridhiano na kuimarisha amani nchini.
Soma Pia: Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini
"Mazungumzo ya aina yoyote yakiacha CHADEMA nje, hakuna mazungumzo hapo. Tusidanganyane, unachukua chama kinaitwa AAFP, chama chenye watu wawili unachukua AAFP, chama ambacho hata mke wa mwenyekiti wake ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha mfukoni 'briefcase', ukiacha CHADEMA nje umeacha robo tatu ya wananchi wa nchi hii”, alisikika Heche.
View attachment 3643894
Na kunywa juice ikulu tu.Vyama vyengine vipo kwa ajili ya viongozi wake kushiriki semina tu
Hata leo ukinipa milioni 500 nikuambie kirefu cha hiyo AAFP nitakubali kuikosa.Waambiwe sio Heche peke yake. Tupo wengi tu tunaowaita hivyo (chama cha kwenye brief case)!
Mtu anaitwa kitumbua HUYO NI KITUMBUA CHA KATIKATI YA MAPAJA YAKEMwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache.
Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 5, 2026 katika Makao Makuu ya AAFP mkoani Dar es Salaam, Shani amesema kauli hiyo inakidhalilisha chama hicho na wanachama wake.
Amesema AAFP ni chama halali kilichosajiliwa, kilishiriki uchaguzi mkuu na kinastahili kuheshimiwa kama vyama vingine vya siasa. Aidha, amesema chama hicho kilikubali kushiriki kikao kilichoandaliwa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa vyama vya siasa kwa hiari, kwa lengo la kuchangia maridhiano na kuimarisha amani nchini.
Soma Pia: Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini
"Mazungumzo ya aina yoyote yakiacha CHADEMA nje, hakuna mazungumzo hapo. Tusidanganyane, unachukua chama kinaitwa AAFP, chama chenye watu wawili unachukua AAFP, chama ambacho hata mke wa mwenyekiti wake ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha mfukoni 'briefcase', ukiacha CHADEMA nje umeacha robo tatu ya wananchi wa nchi hii”, alisikika Heche.
View attachment 3643894
Naona think tank la chadema linazungumza, linamwaga madini. Kwa maneno mengine, huyo ndo waziri katika serikali ya chadema ya mwaka 2090 anamwaga mapoint hapo!!Ni kweli kakosea ni chama cha sidiria
Wewe ni wakuonewa huruma yaani nipo rotation na konyagiiii KICHWANI naweza kukuvunjia heshima ngoja nikusitiri.AAAFP wafanye mambo yao, waachane na hilo shoga la wabelgiji
AAFP Nadhani kirefu chake niAAFP hawana hata mbunge mmoja. Wananchi gani wanaowawakilisha kwenye hayo maridhiano? They simply have zero mandate!