Chama cha AAFP chamjia juu Heche kukiita "chama cha mfukoni"

Wewe ni wakuonewa huruma yaani nipo rotation na konyagiiii KICHWANI naweza kukuvunjia heshima ngoja nikusitiri.
Siihitaji heshima yoyote ya nyumbu Mimi. Binadamu kuwa nyumbu peke yake ni kunivunjia heshima tosha kabisa, nikiwa kama binadamu niliyekamilika. Heche ni gasho tu la wabelgiji, hilo hata halihitaji miwani.
 
Kwani heche amewai shindwa kumpiga mbupu mama Ako?

Mbona povu sanaa

Mwanaume kuwa na wivu wa kike kwa MWANAUME RIJALI HECHE 😔
 
Mtun
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache.

Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 5, 2026 katika Makao Makuu ya AAFP mkoani Dar es Salaam, Shani amesema kauli hiyo inakidhalilisha chama hicho na wanachama wake.

Amesema AAFP ni chama halali kilichosajiliwa, kilishiriki uchaguzi mkuu na kinastahili kuheshimiwa kama vyama vingine vya siasa. Aidha, amesema chama hicho kilikubali kushiriki kikao kilichoandaliwa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa vyama vya siasa kwa hiari, kwa lengo la kuchangia maridhiano na kuimarisha amani nchini.

Soma Pia: Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini

"Mazungumzo ya aina yoyote yakiacha CHADEMA nje, hakuna mazungumzo hapo. Tusidanganyane, unachukua chama kinaitwa AAFP, chama chenye watu wawili unachukua AAFP, chama ambacho hata mke wa mwenyekiti wake ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha mfukoni 'briefcase', ukiacha CHADEMA nje umeacha robo tatu ya wananchi wa nchi hii”, alisikika Heche.

View attachment 3643894

Mtu anaitwa Kitumbua. Si Bora angeitwa Sambusa Tu
 
Wakuu hebu tuache unafki tuongee ukweli..Hivi vyama baada ya uchaguzi vinapotelea wapi? mfano nikitaka kujiunga na TLP Nikiwa Kandaga Kigoma ofci zao zipo wapi? Daaa ! ila Watanzania Tunachezewa akili na hizi siasa.
 
Kwani heche amewai shindwa kumpiga mbupu mama Ako?

Mbona povu sanaa

Mwanaume kuwa na wivu wa kike kwa MWANAUME RIJALI HECHE 😔
Huyo unayemuita bwana na kumpanulia kinyeo mama yangu anampiga dildo tu huyo kwani kwake ni shostito tu. Punga kweli wewe
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache.

Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 5, 2026 katika Makao Makuu ya AAFP mkoani Dar es Salaam, Shani amesema kauli hiyo inakidhalilisha chama hicho na wanachama wake.

Amesema AAFP ni chama halali kilichosajiliwa, kilishiriki uchaguzi mkuu na kinastahili kuheshimiwa kama vyama vingine vya siasa. Aidha, amesema chama hicho kilikubali kushiriki kikao kilichoandaliwa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa vyama vya siasa kwa hiari, kwa lengo la kuchangia maridhiano na kuimarisha amani nchini.

Soma Pia: Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini

"Mazungumzo ya aina yoyote yakiacha CHADEMA nje, hakuna mazungumzo hapo. Tusidanganyane, unachukua chama kinaitwa AAFP, chama chenye watu wawili unachukua AAFP, chama ambacho hata mke wa mwenyekiti wake ni mwanachama wa CHADEMA. Chama cha mfukoni 'briefcase', ukiacha CHADEMA nje umeacha robo tatu ya wananchi wa nchi hii”, alisikika Heche.

View attachment 3643894
I've never heard of this AAFP so called 'political party'.
 
Hivi majina yamekwisha kabisa mpaka mtu ajiite kitafunwa
 
Hahaha 😆!! Kitumbua kama Kitumbua on air.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom