Challenge ya kusave pesa UTT

Hesabu sio sahihi.
 
Hapo sawa ngoja niifatilie hii nikaweka huko hata kamillion 20 katanifaa uzeeni.

Naomba link ya hiyo Government bond na wapi hasa ofisi zao zipo niende for more information.🤝
Find a broker (I can help with that) then fungua CDS account. Calendar ya govt bond inapatikana kwenye website ya BoT. All the best mkuu. You are on the right path and I am sure you will definetely win
 
Kwa mfano mm ni mtumishi ,unanishaur nijiunge n mfuko gani nipate faid kidgkdgo japo ntkuw naivest kdgkdgo baad y kupta mshahar
 
ndio ila intrest za benki hazivuki 9% wakati ya UTT ni 12% mpaka 15%.Mtu aliyewekeza UTT bado anafaida zaidi kuliko aliyewekeza benki.
Mnaongelea nominal interest wakati kuna inflation boss.
Real gaining sio 15% ila ni 15 - 4 = 11%

Kwasababu
Real Interest = Nominal Interest - Inflation.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mimi nimeamua kuendeleza eneo aliloliacha baba. Kila mwezi nanunua mbuzi mmoja jike nataka nione baada ya miaka mitano nitkua na mbuzi wangapi
 
Mnaongelea nominal interest wakati kuna inflation boss.
Real gaining sio 15% ila ni 15 - 4 = 11%

Kwasababu
Real Interest = Nominal Interest - Inflation.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndio maana kuna post nimeandika kila uwekezaji una RISK ZAKE!!!

Hujalazimishwa kujiunga UTT wewe nenda kawekeze unapoona panakufaa sisi wengine hatupendi kubeti/kurisk high so UTT ni nzuri zaidi na zaidi.
 
Mimi nimeamua kuendeleza eneo aliloliacha baba. Kila mwezi nanunua mbuzi mmoja jike nataka nione baada ya miaka mitano nitkua na mbuzi wangapi
Kweli upo sahihi kama mazingira yako ynakuruhusu huo nao ni uwekezaji.

Kwa sisi wa mijini na tusio na muda wa kwenda shamba UTT ni mkombozi.
 
Mimi nauliza UTT na Hisa za DSE ipi Bora ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…