Duu nimekuwa interested sana ngoja na mimi nianze kuwekeza kidogo kidogo30 yrs ago ungeweka hiyo pesa ya kulima miti UTT mda huu ungekuwa unapanga route za ndege yaani ungekuwa full booked kwenda kula pension yako🤗🤗🤗
Tuseme uliwekeza 15,000,000/ tu huko shambani kwako kwa hesabu za UTT calculator kwa lowest intrest rate ya 12% ungekuwa umezalisha 434,398,831.81 ukijumlisha na hiyo million 15 unapata 449,398,831.81 hii hela unaipata wewe bila kufanya chochote ndani ya hiyo miaka 30.
#Tukutana 2040 panapo majaliwa tutakuwa tunashift fights tu leo Amstardam kesho Paris keshokutwa Cape town mtondogoo Dubai.Ni humu tu🤫🤫🤫
Hapo sawa ngoja niifatilie hii nikaweka huko hata kamillion 20 katanifaa uzeeni.UTT wanainvest kwenye government bonds significantly. Obtian their Financial statements uone mkuu.
Government bonds maximum investment period ni 25yrs na wanatoa return kubwa zaidi compared to UTT. PI unaweza kuzitumia bonds kama collateral ya mkopo bank.
Hujachewa kiongozi ukifika makao makuu yao pale SUKARI HOUSE posta- Daslam utapata kiwewe zaidi😂😂😂Duu nimekuwa interested sana ngoja na mimi nianze kuwekeza kidogo kidogo
Kuwa BoT na UTT nipo siku tele, ila kuongeza hakuna mudaHata hicho kidogo utachoambulia say umewekeza in 7-10 yrs kama utajaaliwa kuwa hai napo hapo angalau utafaidi kitu.
Na hapo silipwi wangekuwa wananilipa je???😂😂😂😂😂Hahaha kabisa mwamba anapigia chapuo
Sijakusoma mkuu,,,,ongeza nyamanyama kidogo.Kuwa BoT na UTT nipo siku tele, ila kuongeza hakuna muda
Kabisa mkuu , kama unapata pesa wala hakuna shidaNa hapo silipwi wangekuwa wananilipa je???😂😂😂😂😂
Ningegarauka Mwijaku akasome.
Sure mkuuUmenchekesha sana
Same mkuuMiti unasubir muda gani ili imature upate kuvuna ukipiga hesabu its almost the same or less.
Tatizo wabongo wanataka faida kubwa ila hawapigi hesabu za kiuchumi kuhusu RISK za uwekezaji au biashara husika hivyo wanaishia kuwa wacheza kamari.Same mkuu
We mla bata anza kuwekeza kesho nayo ni siku🤝Kabisa mkuu , kama unapata pesa wala hakuna shida
unataka faida ya 100% at what risk???Faida 1% duh aisee
UTT inapendwa kwa sababu inafanya Compounding interest,kitu ambacho hakifanyiki kwenye bond za serikali..wao watakupa gawio ambalo ni constant miaka yote 25..UTT wanainvest kwenye government bonds significantly. Obtian their Financial statements uone mkuu.
Government bonds maximum investment period ni 25yrs na wanatoa return kubwa zaidi compared to UTT. PI unaweza kuzitumia bonds kama collateral ya mkopo bank.
Hahahaha babu yangu amewekeza baba pia , hapa nakula pesa ya babu ya baba bado ,yangu nawekezea vitukuu ya baba watakula wajuku ( jokes)😂We mla bata anza kuwekeza kesho nayo ni siku🤝
Nasema kuna umri ukubali ambacho hukufanya, hicho achana nacho ila endeleza ulichonacho. Ukijikita katika kuanza hususan baada ya kustaafu, ndiyo maumivu ya kutapeliwa.Sijakusoma mkuu,,,,ongeza nyamanyama kidogo.
Zamani walikuwa wanaandika lima miti ikutunze uzeeni. Naamini hawakujua kuwa gharama za kutunza miti hazilingani na mapatoSure mkuu
Duh kama haina compaund hiyo hainifai maana pesa zangu za madafu mimi nataka COMPOUND TU!!!UTT inapendwa kwa sababu inafanya Compounding interest,kitu ambacho hakifanyiki kwenye bond za serikali..wao watakupa gawio ambalo ni constant miaka yote 25..
Ngoja na Mimi nianze kuweka30 yrs ago ungeweka hiyo pesa ya kulima miti UTT mda huu ungekuwa unapanga route za ndege yaani ungekuwa full booked kwenda kula pension yako🤗🤗🤗
Tuseme uliwekeza 15,000,000/ tu huko shambani kwako kwa hesabu za UTT calculator kwa lowest intrest rate ya 12% ungekuwa umezalisha 434,398,831.81 ukijumlisha na hiyo million 15 unapata 449,398,831.81 hii hela unaipata wewe bila kufanya chochote ndani ya hiyo miaka 30.
#Tukutana 2040 panapo majaliwa tutakuwa tunashift fights tu leo Amstardam kesho Paris keshokutwa Cape town mtondogoo Dubai.Ni humu tu🤫🤫🤫