Challenge ya kusave pesa UTT

Shukrani sana kiongozi🙏
 
-Mimi nashauri diversification kwenye investment, like Utt, mashamba, viwanja, biashara, hisa,
Sawa, ila hizo fixed accounts ni kuhifadhi tu pesa mkuu, sio kutarajia faida kubwa labda kama unaweka walau 10M+ wakati hiyohiyo 10M kimtaamtaa kuna biashara hapo mtaani kwako inaingiza pesa mingi zaidi ya hizo accounts.
 
Baaaasi kwisha, mimi nimechagua nambari moja hapo.

Faida kubwa=Hasara kubwa
 
Kaka tumbili hebu funguka kama mwanaume mbona unarukaruka na unatoa mawazo yako kama mtu ambaye hajaelimika.

Andika vizuri na kwa kirefu unachotaka kukisema ili watu wakuelewa na ikiwezekana tukupinge kwa hoja.
Michambo ya kishoga siwezani nazo, endelea na unavyoona sahihi
 
Sawa, ila hizo fixed accounts ni kuhifadhi tu pesa mkuu, sio kutarajia faida kubwa labda kama unaweka walau 10M+ wakati hiyohiyo 10M kimtaamtaa kuna biashara hapo mtaani kwako inaingiza pesa mingi zaidi ya hizo accounts.
Acha stori za kijiweni braza biashara sio makalio,kwamba kila mtu anayo au ukifungua utawin, wakati UTT ni uhakika asilimia zaidi ya 98.

Braza unajishushia heshima, unauwakika hizo ni fixed accounts.Jaribu uwe na taarifa sahihi laasivyo utaonekana mediocre.
 
Ila huko kwenye mabenki kubaliana na yote kuna watu wanalalamika hawaoni gawio pia,stress za hisa kupanda na kushuka UTT hamna kabisa.
 
Niruhusu nitukane chief,,,,mamamaaaaaammaaakkkkkkeeeee duh mzigo mzito alafu unakuta mwamba anasubir gawio la mwaka anaenda kubadili ndinga,hapo gawio lake unajenga nyumba mpya na unamenya pira jipya la maana kila mwaka kila mwaka yaani ni humu tu🙌🙌🙌🙌🙌

🚨Amewezaje kuscreenshot na app hairuhusu hicho kitendo??!!!
 
Hamna mtu hapo anafikiri wanaowekeza huko walikua hawapendi kupata hela nyingi Kwa mda mchache
Watu wengi wanatamaa ya pesa na hawajui kuwa to every gain their is a risk to take.

Watu wa hivi unaweza chukua siki 365 unamfafanulia jambo ila hawezi kuelewa🥱
 
Tangu nianze kupitia nyuzi zote kuhusu UTT huu ndo uzi niliouelewa kwa karibu 90% nafikiri ni muda sahihi wa kuwekeza sasa. Nimewekeza pesa zangu bank kwa miaka 5 sasa ila hakuna ninachoambulia ngoja niingie huku rasmi. Mkuu ulioleta uzi barikiwa sana na wote mliotoa maoni postive na challenging pia mbarikiwe sana nimejifunza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…