Kwanini mkuuTanzania bara ni wasindikizaji tu!hakuna kitu!!
wewe unaumwa.....lete matokeo kama unayo..Leo Tanganyika nina hakika tutacheza kama Barca!
Nasikia Yanga wanataka kumsajili Messi!
wewe unaumwa.....lete matokeo kama unayo..
lazima kieleweke nani kawaambia mpira unachezwa mdomoni, ngoja tuone kitakachotokea..Hadi sasa wasomali wamewabana bwana!
Goooooooooooooooooooooooo Kilimanjaro Stars wanapata Goli la kuongoza limefungwa na Joseph Shindika kwa njia ya penalt ni dakika ya 44
Game ni half time Kilimanjaro Stars 1 - Somalia 0
Goooooooooooooooooooooooo Kilimanjaro Stars wanapata Goli la kuongoza limefungwa na Joseph Shindika kwa njia ya penalt ni dakika ya 44