Challenge ya 2011; matches na results

utasikia vyombo vya habari vitaanza, JK Boys imetwaa kombe la challenge na wakati siku zote ilikuwa inaitwa kilimanjaro stars
 
sasa hvi mnataka kusema waliochukua ni Tanganyika na sio Tanzania bara ?

mbona mnatumia bendera ya Tanzania na wimbo wa tanzania


tuache kubaguana
Mbona ya Zanzibar haitwi Tanzania visiwani, kutumia wimbo,bendera ni moja ya mapungufu ya katiba we ngoja tutayalekebisha tu....watanzania wote tuna paswa kusherekea lakini tukikumbuka huu ni ushindi wa Tanganyika ndiyo maana nanyie znz mlipeleka timu
 
maxmo hajatutoa kokote....yule mzushi tuuu... hii timu ni mpya na cha msingi ni ushindi...simba oyeeeee.........
 
Back
Top Bottom