CHALIE HOTEL ECHO SIERA SIERA

CHALIE HOTEL ECHO SIERA SIERA

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
477
Reaction score
1,017
Wazalendo wa kweli wa taifa hili hawawezikukaa kimya kuona misingi inavunjwa. Ni lazima kazi ifanyike taifa lirudi kwenye misingi. Siasa isivuke mipaka ya uzalendo na walinda iyo mipaka wapo na tunaamini kazi yenu. Taratibu zifuatwe akipita aongoze asipopita apumzike maana taifa ni kubwa kuliko maslahi binafsi... activated....
 
Charlie siyo chalie
 
Haya kumekucha kumekucha hii lugha ya wazee wa "meno" na "wazalendo" lisemwalo lipo basi.
 
Back
Top Bottom