Chalamila naona umepitiwa kaka

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,261
Reaction score
98,289
Yaani huku ulipoingia naona umepotea kaka.

Huna haki yoyote ile ya kumchagulia mwananchi cha kuhitaji ukiwachia bange na madawa mengine ya kulevya.

Ngono siyo dhambi ili mradi hajatumia uharamia kuipata hiyo ngono.

Unawezaje kusema utamkamata? Amebaka? Au kuna mlalamikaji?
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu RC anaacha kuweka mipango thabiti ya kupambana na uchafu/takataka zilizozagaa kila kona ya jiji la DSM anaanza kupambana na faragha za watu.

Ni ajabu mwananchi anatumia kikojolewa chake lkn Chalamila anaumia huko ofisini kwake.

Hakuna popote kwenye sheria ama katiba palipoandikwa kwamba mtu kugawa uroda ni kosa la jinai. Tukiungana mafusika , machangu na wanaume wanaonufaika na "ngono-ubwete" Chalamila tunamfunga.
 
Aliwe yeye kama hataki watu wajitafunie madada poa.
 

R na L inaonekana bado ni tatizo hapa nchini.
 
Hatari dadekii kafanikiwa bundle leo!
 
Madanguro hayapaswi kuwa hovyohovyo mitaani kwenye makazi ya watu.

waweke utaratibu kwa hayo madanguro kuwekwa mbali huko ambako watu hawaishi.
Hata hizi sehemu za starehe hovyo hovyo mitaani kwenye makazi ya watu zitolewe ziwekwe mbali na makazi ya watu pia.
 
Hajitambui kabisa
 
Wakifikishwa mahakamani hushtakiwa kwa kesi ya uzururaji (sheria ya kikoloni/kikaburu)
 
Wametumia nguvu nyingi.

Utafikiria ni vita dhidi ya wavamizi wa nchi.

Ukute hata yeye kasomeshwa na hela ya udanguro.

Nchi haina kiwanda nchi haina ajira, kwani hata wale wamama nimeona watu wazima kwamba wanapenda ukahaba ? Ni maisha tu.

Akikutana na baba yake januari amuulize sekeseke la jangwani lilichomfanyia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…