Ndio ujinga tulio nao kesho atakuja mwingine atasema amekuta mabasi 20😁😁😁😁😁 nchi ya vichekesho hi,juzi tu alitoka hapo waziri mkuu na kukuta mabac mengine yamejaa matope ndani na yamepak tu na hakukuwa na mabadiliko yyt ....😀😀,,Leo mkuu wa mkoa ,naye akiondoka hapo hkn mabadiliko ,kesho atakuja rais na Bado changamoto haitatulikii🤔🤔🤔🤔
Ujinga mtupuTandika reli njia ya mwendokasi, weka kichwa kidogo cha treni na behewa za kutosha.
Saa kumi na moja alfajiri treni ya kwanza, saa kumi nambili ya pili, saa moja kamili trip ya tatu halafu inapaki yanaanza mabasi kuokota okota.
Ikifika saa kumi jioni treni tena trip tatu unapaki kuyaachia mabasi.
Kiufupi n huzuni tupu Kwa Wana kimara na mbeziNdio ujinga tulio nao kesho atakuja mwingine atasema amekuta mabasi 20
Tandika reli njia ya mwendokasi, weka kichwa kidogo cha treni na behewa za kutosha.
Saa kumi na moja alfajiri treni ya kwanza, saa kumi nambili ya pili, saa moja kamili trip ya tatu halafu inapaki yanaanza mabasi kuokota okota.
Ikifika saa kumi jioni treni tena trip tatu unapaki kuyaachia mabasi.
Inamana mabasi 140 yamekufa Toka mwendo Kasi uanze harafu Kuna tajiri ana eache zake kabla hata mwendo Kasi hazijaja na mpka Leo zipo barabarani ooh tumekumisi Jiwe pumzika kwa amanMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200 yaliyoletwa mara ya kwanza.
Upo Sahihi kabisaa mkuuKiufupi n huzuni tupu Kwa Wana kimara na mbezi
Kwenu Maswa sio? Subiri mjadala wa kumbikumbi kama suala la public transport uko mbumbumbu.Ujinga mtupu
Tungeweka trams zile na tracks zake hazisumbui kujenga upya kama treni na reli yake.Tandika reli njia ya mwendokasi, weka kichwa kidogo cha treni na behewa za kutosha.