Chakula hiki jamani ni kitamu sana

Halafu kinaongeza genye kwa wingi km una gemu unawweza kula na ugali safi sana.muungano oyeeeeeeee
 
Hivi hiyo mirangi myekundu wanaongezea rangi ya ubuyu ama ni natural colour ya pweza?
Mie sili vitu vyenye sura zisizoeleweka.
 
hivi hiyo mirangi myekundu wanaongezea rangi ya ubuyu ama ni natural colour ya pweza?
Mie sili vitu vyenye sura zisizoeleweka.
akiwa mbichi ana rangi nyeupe ukishamtia kwenye moto tu ndio anakuwa hivyo haongezewi rangi huyo.hiyo kitu ni tamu sana mdada don dare
 
Kalamari na pweza is a no no! Yaani kwa sababu hizo nikila nje nataka samaki mzimaaa nimuone na kichwa chake mezani. Mambo ya fish fingers sijui fish fillet ndo haya! Samaki gani ana sura ya ajabuuu!
akiwa mbichi ana rangi nyeupe ukishamtia kwenye moto tu ndio anakuwa hivyo haongezewi rangi huyo.hiyo kitu ni tamu sana mdada don dare
 
MziziMkavu hiyo itakua kitu ya Dar, huku Zenji kitu inakaangwa, hilo serwa linatengenezwa pembeni sosi na madikodiko kibao. Hata mimi mwanzoni nilikua nipo kama King'asti, nilikua sitaki hata kuwaona, ila siku hizi wamenikolea. kuna jamaa anaitwa msomali maeneo ya kiembe samaki ni specialist kabisa tena certified wa kuandaa hii kitu....acha bwana. Ukimaliza unashushia na juice ya miwa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…